Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump..
Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat...
Hapo secret service walifeli.
Secret service wakiwa na 'target' kwenye location, kazi yao ni kusecure mazingira... Kuhakikisha hakuna nafasi ya direct hit kutoka kwenye hizi silaha ndogo kwenda kwa target..
Hapa pia wameshindwa
Siamini Kama wameshindwa hivyo.. nataka kuamini Kama na wao walikua washirika kwenye hili tukio..
Kwanini?
Hawa jamaa wana metal detectors zenye nguvu vibaya mno..
Ni rahisi Sana kwa analyst wao kujua Kuna silaha gani karibu ambayo sio rafiki..
Mpigaji, Mathew Crooks alipiga Kama risasi nne kabla hajapigwa, kwenye hizi kazi, Kama umezisoma Kama nilivyozisoma alifanya makosa na alistahili kuuawa..
He had to take only one shot..
Yeye akageuza a scene of shooting rampage..
He had to be killed..
And if it is so kama navyofikiri..
This won't be the only attempt..
There will be others in other forms
Kwa upande wa mpigaji...
Mpigaji alikuwa futi almost mia tano kutoka kwenye target, hizi ni karibu mita 160
Kiukweli..sijajua silaha aliyotumia ila amejitahidi Sana..
Kwa kijana wa miaka ishirini kwakweli amejitahidi.
Ukifuatilia ma pro wa headshots...kwanza umri unakuwa mkubwa na experience kubwa hasa kwenye uwanja wa vita.
Nadhani alitafuta jicho la kulia la Trump... that is a sure kill maana sio kila headshot ni fatal shot..
Kuna watu wanapigwa risasi kichwani na wanaishi...mfano Sativa.
Kichwani, piga jicho, au Temple..hizo ndio sure kill shots..
Dogo alikiwa sawa, labda uzoefu ulimzengua, au upepo, au calibrations au aina ya silaha..
For now we don't know, but we will know