DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mbona Bashite bado yupo uraiani na amepewa mamlaka ya kuongoza mkoa
MakiHii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.