Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump..
Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat...
Hapo secret service walifeli.
Secret service wakiwa na 'target' kwenye location, kazi yao ni kusecure mazingira... Kuhakikisha hakuna nafasi ya direct hit kutoka kwenye hizi silaha ndogo kwenda kwa target..
Hapa pia wameshindwa
Siamini Kama wameshindwa hivyo.. nataka kuamini Kama na wao walikua washirika kwenye hili tukio..
Kwanini?
Hawa jamaa wana metal detectors zenye nguvu vibaya mno..
Ni rahisi Sana kwa analyst wao kujua Kuna silaha gani karibu ambayo sio rafiki..
Mpigaji, Mathew Crooks alipiga Kama risasi nne kabla hajapigwa, kwenye hizi kazi, Kama umezisoma Kama nilivyozisoma alifanya makosa na alistahili kuuawa..
He had to take only one shot..
Yeye akageuza a scene of shooting rampage..
He had to be killed..
And if it is so kama navyofikiri..
This won't be the only attempt..
There will be others in other forms