Hapo hakuna cha njama wala nini. Kilichopo ni utapeli kwa watu wa aina yako na hao matapeli kuna watu lazima watawapata. Wewe shukuru Mungu tu upo humu JF tumekusaidia kukufungua akili labda uwe ni kichwa maji au sikio la kufa lisilosikia dawa.unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.
manake pana harufu ya njama hapo
Ndio maana ya nyumbu😁Kabisa na wewe umeamini?
Mbona heading ya uzi wako imetaja secretariat ya ajira?usiwe mjinga au kutokua na deep thinking
sijasema tangazo limetoka sekkreatariat ya ajira tangazo limetoka uvccm linataka walimu wenye kadi za uvccm hawajabainisha wanawataka kwa kazi ipi
Thibitisha vinginevyo kuwa alicholeta siyo sahihi. Usikosoe tu kwa kuwa unaweza kuandika ilihali wewe mwenyewe hutumii ubongo wako na muda wako vizuriUna uthibitisho gani website ya chama au website halali imepost hiyo?
Hao ni matapeli wanataka wawapige pesa ,usiwasingizie UVCCM,
Tufike mahali tutumie ubongo kufikiria ,
nyumbuThibitisha vinginevyo kuwa alicholeta siyo sahihi. Usikosoe tu kwa kuwa unaweza kuandika ilihali wewe mwenyewe hutumii ubongo wako na muda wako vizuri
Wewe Kenge ndio umeamua kukimbia kile kijiwe Chenu cha Arsenyetoz kule ?Una uthibitisho gani website ya chama au website halali imepost hiyo?
Hao ni matapeli wanataka wawapige pesa ,usiwasingizie UVCCM,
Tufike mahali tutumie ubongo kufikiria ,
Miaka yote hali ndiyo iko hivihili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
wamuibie nani kura? Labda wakamuibie mboweWANAANDAA MPANGO OVU WA KUIBA KURA
Twafaaa huku alisikika poor brainNilivyosoma tu neno "AJARI" kwenye hilo Tangazo la Uvccm nikazimia kwa muda.
Kumbe MAVILAZA yapo kila kona hata kwenye taasisi nyeti!!!
Twafaaa!! AJARII!!!!!!!
Cc: Pascal Mayalla Poor Brain FaizaFoxy Nyani Ngabu Lamomy secretarybird
Mbona CCM haya ndio Mambo yao Siku zote? Angalia hata issue ya mikopo, na binafsi miaka flani hivi niliwahi kuweka ushahidi WA haya mambohili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
wape kaziHivi haiwezekani kususia hizi ajira maana hata iwe vipi hao wenye connection hawawezi kumaliza tatizo la walimu Tanzania
Vijana mnaomaliza chuo tafuteni kazi mbadala kazi zipo nyingi msipelekeshwe na serikali ni hayo tu
Naona ccm bila aibu wameamua kuwagawa watu kwa msingi wa vyama. Ipo siku bomu kitalipuka ila bahati mbaya waliolitengeneza watakuwa dubai na ulaya huku walalahoi wakidundana wenyewehili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
That's your only solution on thisok
wape kazi