secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.

manake pana harufu ya njama hapo
Hapo hakuna cha njama wala nini. Kilichopo ni utapeli kwa watu wa aina yako na hao matapeli kuna watu lazima watawapata. Wewe shukuru Mungu tu upo humu JF tumekusaidia kukufungua akili labda uwe ni kichwa maji au sikio la kufa lisilosikia dawa.
 
usiwe mjinga au kutokua na deep thinking
sijasema tangazo limetoka sekkreatariat ya ajira tangazo limetoka uvccm linataka walimu wenye kadi za uvccm hawajabainisha wanawataka kwa kazi ipi
Mbona heading ya uzi wako imetaja secretariat ya ajira?
 
Una uthibitisho gani website ya chama au website halali imepost hiyo?

Hao ni matapeli wanataka wawapige pesa ,usiwasingizie UVCCM,

Tufike mahali tutumie ubongo kufikiria ,
Thibitisha vinginevyo kuwa alicholeta siyo sahihi. Usikosoe tu kwa kuwa unaweza kuandika ilihali wewe mwenyewe hutumii ubongo wako na muda wako vizuri
 
Una uthibitisho gani website ya chama au website halali imepost hiyo?

Hao ni matapeli wanataka wawapige pesa ,usiwasingizie UVCCM,

Tufike mahali tutumie ubongo kufikiria ,
Wewe Kenge ndio umeamua kukimbia kile kijiwe Chenu cha Arsenyetoz kule ?
Nimekufuma pimbi wewe ,ngoja niwaalike wahuni waje kukupa dozi yako
Dozi iko pale pale ,rudi kule kwenye kijiwe Chenu cha kahawa tuwape nyundo zenu ,wabeba manati WA London
 
Utumishi na serikali nzima ni takataka ,wote ni slaves wa ccm ,ccm ndio slave master ,so wanaobey order ,hata wakiambiwa wale makalio ya Makada wa ccm ,watalamba tu .
Takataka kabisa
 
Watanzania wengi bado ni wajinga. Sasa huoni hapo ni matapeli wanataka kuwapiga vijana wasio na ajira. Au ni propaganda za kuchafuana kwa wanasiasa. Tutumie japo akili za asubuhi kufanya reasoning.
 
hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe

hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
Mbona CCM haya ndio Mambo yao Siku zote? Angalia hata issue ya mikopo, na binafsi miaka flani hivi niliwahi kuweka ushahidi WA haya mambo
 
Nashangaa watu wanapinga nini, Lisemwalo lipo jamani.
 
Usome kwa jitihada zako huku ukitumia rasilimali fedha kama mtaji halafu uhitimu kisha uanze kuvizia kutuma application letters kwa kificho utakuwa umekombolewa na elimu kifikira kweli?Fursa hazipo mtaani mpaka kujitoa fahamu kama ambavyo viongozi wetu huisifu executive mpaka napata shaka juu ya elimu yetu kama si utapeli.Kwa hivi tutafika kweli?
 
ok
Hivi haiwezekani kususia hizi ajira maana hata iwe vipi hao wenye connection hawawezi kumaliza tatizo la walimu Tanzania

Vijana mnaomaliza chuo tafuteni kazi mbadala kazi zipo nyingi msipelekeshwe na serikali ni hayo tu
wape kazi
 
hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe

hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
Naona ccm bila aibu wameamua kuwagawa watu kwa msingi wa vyama. Ipo siku bomu kitalipuka ila bahati mbaya waliolitengeneza watakuwa dubai na ulaya huku walalahoi wakidundana wenyewe
 
Back
Top Bottom