secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

secretarieti ya ajira kuna tangazo linadai vijana wa uvccm ambao ni walimu wawasilishe taarifa zao kuna nini kinaendelea??

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe

hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
 
Attachments

  • Screenshot_20241222-152730.jpg
    Screenshot_20241222-152730.jpg
    338.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241222-145702.jpg
    Screenshot_20241222-145702.jpg
    226.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241222-145630.jpg
    Screenshot_20241222-145630.jpg
    492 KB · Views: 4
Haya yote ni serikali ndiyo inayatengeneza kwa kupitia taasisi zake ,, inapaswa wahusika wajitokeze waache kakaa mafichoni waeleze wazi nini kinaendelea juu ya ajira za uwalimu zilizositishwa nje na hapo mengi zaidi yataibuka
 
Umethibitishaje kuwa hilo tangazo limetolewa na sekretariat ya ajira? Kumbe kutapeliwa ni rahisi kiasi hiki eh?
 
Umethibitishaje kuwa hilo tangazo limetolewa na sekretariat ya ajira? Kumbe kutapeliwa ni rahisi kiasi hiki eh?
unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.

manake pana harufu ya njama hapo
 
unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.

manake pana harufu ya njama hapo
Wewe huoni ni watu tu wanatengeneza mazingira ya utapeli.
 
unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.

manake pana harufu ya njama hapo
Kwa nini kilaza asiwe wewe uliyetoa tangazo huko unakojua wewe na kuleta hoja hapa ukiamini kabisa kuwa hilo tangazo limetoka sekretariat ya ajira? Kinachofurahisha ni kwamba mwisho wa yote wewe mwenyewe tena hapa hapa utakuja kuthibitisha kwamba kweli wewe ni kilaza. Pole yako.
 
Una uthibitisho gani website ya chama au website halali imepost hiyo?

Hao ni matapeli wanataka wawapige pesa ,usiwasingizie UVCCM,

Tufike mahali tutumie ubongo kufikiria ,
 
Kwa nini kilaza asiwe wewe uliyetoa tangazo huko unakojua wewe na kuleta hoja hapa ukiamini kabisa kuwa hilo tangazo limetoka sekretariat ya ajira? Kinachofurahisha ni kwamba mwisho wa yote wewe mwenyewe tena hapa hapa utakuja kuthibitisha kwamba kweli wewe ni kilaza. Pole yako.
Nimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,

Na amekomaa kabisa anakwambia ni tangazo la kweli ,
 
Nimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,

Na amekomaa kabisa anakwambia ni tangazo la kweli ,
Na alivyo kilaza na mbishi anadhani tangazo lolote la ajira linatoka sekretariat ya ajira!🤣🤣🤣🤣🤣
 
uwezo wa wako wa kufikiri mdogo. ilo tangazo limetoka rasmi uvccm dar es salaam
UVCCM ya wapi wamepost ,hao ni matapeli,acha kuchafua watu

Watu kama nyie ndio matapeli wanawapenda sana ,maana uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo, na hivi matumizi ya Al ni makubwa mtapigwa sana
 
Na alivyo kilaza na mbishi anadhani tangazo lolote la ajira linatoka sekretariat ya ajira!🤣🤣🤣🤣🤣
Muache tu , matapeli wanawapenda sana watu kama hao

Na hivi matumizi ya Al ni makubwa ,watapigwa sana
 
Nimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,

Na amekomaa kabisa anakwambia ni tangazo la kweli ,
usiwe mjinga au kutokua na deep thinking
sijasema tangazo limetoka sekkreatariat ya ajira tangazo limetoka uvccm linataka walimu wenye kadi za uvccm hawajabainisha wanawataka kwa kazi ipi

tangazo limeweka namba za uvccm dar es salaam

tangazo linasema wasilisha kadi ofsi za uv CCM

tangazo limetaget walimu waliomba. ajira
 
Hivi haiwezekani kususia hizi ajira maana hata iwe vipi hao wenye connection hawawezi kumaliza tatizo la walimu Tanzania

Vijana mnaomaliza chuo tafuteni kazi mbadala kazi zipo nyingi msipelekeshwe na serikali ni hayo tu
 
Back
Top Bottom