hili ndo tangazo linalosambaa mtandaoni inadaiwa wanachama baadhi wa uvccm wamepokea huu ujumbe
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
hili swala ni serious linahitaji ufafanuzi wa kina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaonekana ili upate ajira uwe na kadi ya chama hi ahatariWANAANDAA MPANGO OVU WA KUIBA KURA
unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.Umethibitishaje kuwa hilo tangazo limetolewa na sekretariat ya ajira? Kumbe kutapeliwa ni rahisi kiasi hiki eh?
Wewe huoni ni watu tu wanatengeneza mazingira ya utapeli.unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.
manake pana harufu ya njama hapo
uwezo wa wako wa kufikiri mdogo. ilo tangazo limetoka rasmi uvccm dar es salaamWewe huoni ni watu tu wanatengeneza mazingira ya utapeli.
Kwa nini kilaza asiwe wewe uliyetoa tangazo huko unakojua wewe na kuleta hoja hapa ukiamini kabisa kuwa hilo tangazo limetoka sekretariat ya ajira? Kinachofurahisha ni kwamba mwisho wa yote wewe mwenyewe tena hapa hapa utakuja kuthibitisha kwamba kweli wewe ni kilaza. Pole yako.unaonekana kilaza usikurupuke kijingajinga ukisoma hilo tangaza limetoka uvccm linai walimu weliomba ajira wenye kadi za chama.
manake pana harufu ya njama hapo
Sawa wewe mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria chukua hatua.uwezo wa wako wa kufikiri mdogo. ilo tangazo limetoka rasmi uvccm dar es salaam
Nimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,Kwa nini kilaza asiwe wewe uliyetoa tangazo huko unakojua wewe na kuleta hoja hapa ukiamini kabisa kuwa hilo tangazo limetoka sekretariat ya ajira? Kinachofurahisha ni kwamba mwisho wa yote wewe mwenyewe tena hapa hapa utakuja kuthibitisha kwamba kweli wewe ni kilaza. Pole yako.
Na alivyo kilaza na mbishi anadhani tangazo lolote la ajira linatoka sekretariat ya ajira!🤣🤣🤣🤣🤣Nimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,
Na amekomaa kabisa anakwambia ni tangazo la kweli ,
UVCCM ya wapi wamepost ,hao ni matapeli,acha kuchafua watuuwezo wa wako wa kufikiri mdogo. ilo tangazo limetoka rasmi uvccm dar es salaam
Muache tu , matapeli wanawapenda sana watu kama haoNa alivyo kilaza na mbishi anadhani tangazo lolote la ajira linatoka sekretariat ya ajira!🤣🤣🤣🤣🤣
usiwe mjinga au kutokua na deep thinkingNimeshangaa sana ,hao ni matapeli na target Yao ni watu kama yeye ,yaani anaamini kabisa Sekretariet ya ajira inaweza kupost huo ujinga ,
Na amekomaa kabisa anakwambia ni tangazo la kweli ,