Uchaguzi 2020 Secretary Pompeo azungumzia kinachoendelea Tanzania kuhusu mambo ya Uchaguzi

Tuliyatabiri haya mapema, ngoja tuone
 
Hujuma iliofanywa na waliohusika kufanikisha matokeo ya uchaguzi haikuwa ya kisomi, iliandaliwa na amateurs. Kila move tangu mwanzo mwisho ilikuwa wazi. Na kama ni wabobezi, wamefanya makusudi kwa kuichoka system.
 
Demokrasia ni kuacha maamuzi ya mwisho mikononi mwa wananchi/wapiga kura sio wananchi wanaamua hivi halafu kikundi cha wachache wanaamua vingine.

Hilo lipo aazi nadhani unajua yanayotokea kwa nchi za Kiafrika.
 
Kauli za kuwapa matumaini wapinzani,

Sisi tunasonga ,

Kama Lisu na genge lake anafikiri kuna muujiza wa kumpeleka Ikulu atasubiri sana,

Mchezo ushakwisha , leo kaapishwa Mwinyi anafuata Magufuli.

Sisi tunaendelea kujenga Taifa letu, nyie endeleeni kulichafua mkidhani sifa.
 
Wana toa matamko thwn within 3 months Boeing wana pewa dili la ndege hutowasikia tena akina pumbapeo
 
SASA TUMECHOKA NA HAYA MATAMKO. TUNAHITAJI MATENDO DHABITI, TENA KWA HARAKA
 
Unaumwa wewe,wananchi wenyewe tumeona wizi Wa kura live.
 
Wasiokuwa na akili ni wale wanaodai kukamata kura feki na kuzichoma moto badala ya kuzihifadhi kama exhibit. Kura watengeze wao wazipige watoe kilio feki halafu kabla ya watu wenye weledi hawajaziona wanazichoma moto. Watanzania hatudanganyiki
Halafu kura hizo zikutwe kwenye mabegi yanayolindwa na polisi !
 
Kwania ameanza leo kuandika hayo kuhusu JMT ??? Acha uboya wewe anyway mpe Hi huyo bwana wako pompe
 
Kwani hili bara la Afrika ni la wazungu au la waafrika 😅😅😅😅wamevurugwa hao tena wasitupandishe hasira za miaka ya nyuma sisi ndio wenye nchi tumekwisha amua mitano tena wenyewe kina nani!?😲😲😲.


MAGUFULI4LIFE
 
Mabeberu wakisusia utalii Tanzania itakuaje?
Kigwangala ataleta Wachina kuja kuambukiza wanyama pot corona maana Serikali ya china ndiyo imegharamia uchaguzi wote ili mara baada ya uchaguzi ipiwe tenda zote kubwa
 
Mtu mweusi ni nyani tuu..hivi unazani huyoo kombeo akizungumza atakusaidia kitu? Huko marekani kwenyewe hakuna democracy..full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…