Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Hebu peleka upumbavu wako wako huko Lumumba.
Usidhani humu jf watu ni wanafiki kama wewe Paskali!
 
Watu tunashindwa kuelewa kwamba tanzania Kuna vitu tunatakiwa kujivunia kwanza kabisa uhuru wetu Kuna wanasiasa wanatutia neno watanzania weng ni waoga hawajui kudai haki zao means ni mafara kwa mimi naweza kusema yes tukubali kuitwa mafara Kwan hamna mjanja atae sifiwa dunian wakat ni mkimbiz kwenye nchi ya watu napenda kuwashaur we zangu watakao nielewa kwamba tusikubali kutumika kisiasa kwa niaba ya watu sidhan kama tanzania raia wa kawaida Hana democrasia ya kufanya kitu ambacho kipo kwenye sheria Zaid ya watu ambao siasa ndio Kaz yao so wanasiasa kupigana lazima sio kwamba chadema anampenda ccm wala ilo halipo ndiomana kila siku wanaiponda ccm na kuiita ni mbaya haifai kuongoza Leo unamsikia kabisa mbowe anasema kama serekali haito Fata kama wanavyo taka taifa litaingia kwenye matatizo hamuaon kama wanasiasa wanataka watutumie ccm ili wapate wanachotaka Kwanini wasiseme ccm itapata mtihani waseme taifa Kwan wanataifa wanamakosa gani ona hata Zito kadiriki kuandika barua eti misaada iziwiliwe kisa tu serekal ukubali na itambue mimba za utotoni naiman Zito mwenyewe hili swala la mimba za utotoni hapendi Sema tu anaona ataishije wakat yeye kazi yake nikuifanya serekal ifeli na NJIA ndio kama izo yani yeye anaona awakomoe watoto wa kitanzania na wazaz wao kwa kukosa io hela ili tu ccm iyumbe embu fikirien hiv Hawa ndio watu tunatakiwa tuwaamin Leo lisu yuko nje Zito nae kaenda nje mbowe alikua anataka aende nje Tena wanaenda marekan vip wewe ukipigana ukachafua nch utaenda wap mm naona ni bora tuendelee kuitwa mafara tu ila tunaoish kwenye nchi yetu ya Aman bora ufara uwe kafara yetu kwenye kuilinda nchi yetu vyama vya kisiasa vipigane kwa hoja vyenyewe kama vyenyewe siku zote vyama havipendan na hamna mbunge yupo kwa jili ya wananch wote wapo kwa ajili ya matumbo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nchi Gan dunian upinzani unasifia serekal na ninch Gan dunian wapinzani wanaitishia serekal kwamba isipo Fata kama wanavyo taka woa nchi itaingia kwenye matatizo kwa nin magaid waje wapige raia wa kawaida na wasiwapige ccm Kwan marekan anashindwa kumpigia ccm au sis ndio Mbuzi wa kafara ili watu wapate wanacho kitaka siasa ni mchezo mchafu raia wataumia kwa sababu tu watu fulan hawaelewani hiv unafikir chadema akishika nchi ccm watakua huru au nyie mnachukuliaje siasa ukitaka ujue siasa mchezo mchafu oa wake wawili ndio utapata mfano mdogo utao kufungulia mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman unayo ikosa wewe ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro so longer hapa Tz kuna Cabinet ambacho ndio chombo cha juu cha kumshauri Rais na pia kufanya maamuzi hapa Tz hakuna one man band. Na Mh Majaliwa hajawahi kuleta wanunuzi wa korosho ila Bodi ya korosho ilitaka kuleta zengwe. Alafu ishu ya shangazi ni utani tu.
 

No. 2 umeboronga vibaya mno, sina haja ya kuendelea kusoma upupu wako. Hebu tueleze model ya demokrasia ya Tanzania? Are we capitalist or socialist?
 
Mnafiki huyo njaa inamtesa!!
 
tracebongo njoo unifafanulie maana lile andiko ulisema simuelewi brother mayala hapa sijamuelewa tena, kabisa tukisema uyu hapa sasa kaanza kula buku 7 za lumumba mnabisha
 

Hawa jamaa hawwlakubaliani na ushenzi ushenzi wanaolazimishwa watu wa Tanzania. Wanaona kila kitu wanachovumilia watanzania na wanataka kuja kuwaokoa kwenye ubwege wa kiutawlala.

Hata tujitajidi vipi kufunika uongozi wa mabavu na ukatili wa Magu na CCM lakni wapenda haki duniani wanaona. Na wamechoka! Hivi hao akina Mugabe na akina Gaddafi waliojifanya mwamba waliishia wapi?

Tanzania ni nchi nzuri. Lakini utawala wa CCM na Magu unaharibu sana. Wacha tuminywe kidogo labda huu upuuzi utapungua na kuwa funzo kwa vizazi vijavyo.

Common US, come and get him...
 
Nasikia NYUMBU nao wako safarini kupelekwa IKULU ,je ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa lugha hizi za kubaguana ndo zilikataliwa tangu mwanzo na chama chetu. Ila kumekuja kuzuka mtindo huu wa kutukanana bila kiongozi yeyote kukemea. Hii si afya kwetu TZ.
Nyumbu hawezi kuongoza nchi bali watu wa siasa tofauti. Waite hivyo wala usiwaone kuwa nyumbu. Tumia lugha ya kidiplomasia tu
 
Wewe ni robot, betri ukiisha wanachomoa wana recharge. Cabinet meetings ni mahali pa kupokelea maagizo ya Jiwe tu. Hakuna mwenye mawazo mbadala ambaye anapata fursa ya kwasilisha mawazo yake. Siwezi kukuelewesha zaidi
 
Kama mbway na iwe mbway sisemi hivi kwa kuonesha kuwa napenda au nataka vita, ila miaka zaidi ya 50 watanzania hawana chakujivunia zaidi umaskini kwa karne hii ya sayansi na tec..

Kama ingewezekana tanzania tungerudi karne ya 19 maana hii ya 21 tuwaachie mataifa yalioendelea
 
Wewe ni robot, betri ukiisha wanachomoa wana recharge. Cabinet meetings ni mahali pa kupokelea maagizo ya Jiwe tu. Hakuna mwenye mawazo mbadala ambaye anapata fursa ya kwasilisha mawazo yake. Siwezi kukuelewesha zaidi
Ulisha attend hata moja? Au sababu alitaka akuchomoe nyota moja pale butimba prison.(acha chuki)
 
Imefika wakati nyuzi za Pascal naishia kusoma title tu natulia au nakomenti.
Nyuzi zake zimekaa kinafikinafiki.
Hufai kupewa nafasi kubwa utawaumiza wengi
 
Nonsense
 
It all depends upon the size of your gray matter in the skull. If you are low capacity brain it's really nonsense, but if you areloaded with brains there is a lot of sense in Pascal Mayalla post.

Post ambayo ina pumba haivuki posts 40, wakati thread hii iko 180+. Wengine hamstahili kusoma hizi nyuzi kwa vile zina doze kubwa kuliko uwezo wenu. Bakini tu kule Chit chat au udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…