Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tunashindwa kuelewa kwamba tanzania Kuna vitu tunatakiwa kujivunia kwanza kabisa uhuru wetu Kuna wanasiasa wanatutia neno watanzania weng ni waoga hawajui kudai haki zao means ni mafara kwa mimi naweza kusema yes tukubali kuitwa mafara Kwan hamna mjanja atae sifiwa dunian wakat ni mkimbiz kwenye nchi ya watu napenda kuwashaur we zangu watakao nielewa kwamba tusikubali kutumika kisiasa kwa niaba ya watu sidhan kama tanzania raia wa kawaida Hana democrasia ya kufanya kitu ambacho kipo kwenye sheria Zaid ya watu ambao siasa ndio Kaz yao so wanasiasa kupigana lazima sio kwamba chadema anampenda ccm wala ilo halipo ndiomana kila siku wanaiponda ccm na kuiita ni mbaya haifai kuongoza Leo unamsikia kabisa mbowe anasema kama serekali haito Fata kama wanavyo taka taifa litaingia kwenye matatizo hamuaon kama wanasiasa wanataka watutumie ccm ili wapate wanachotaka Kwanini wasiseme ccm itapata mtihani waseme taifa Kwan wanataifa wanamakosa gani ona hata Zito kadiriki kuandika barua eti misaada iziwiliwe kisa tu serekal ukubali na itambue mimba za utotoni naiman Zito mwenyewe hili swala la mimba za utotoni hapendi Sema tu anaona ataishije wakat yeye kazi yake nikuifanya serekal ifeli na NJIA ndio kama izo yani yeye anaona awakomoe watoto wa kitanzania na wazaz wao kwa kukosa io hela ili tu ccm iyumbe embu fikirien hiv Hawa ndio watu tunatakiwa tuwaamin Leo lisu yuko nje Zito nae kaenda nje mbowe alikua anataka aende nje Tena wanaenda marekan vip wewe ukipigana ukachafua nch utaenda wap mm naona ni bora tuendelee kuitwa mafara tu ila tunaoish kwenye nchi yetu ya Aman bora ufara uwe kafara yetu kwenye kuilinda nchi yetu vyama vya kisiasa vipigane kwa hoja vyenyewe kama vyenyewe siku zote vyama havipendan na hamna mbunge yupo kwa jili ya wananch wote wapo kwa ajili ya matumbo yaoWanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 54 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake. Hakuna hujuma yoyote kama ugaidi, inaweza kupangwa na watu wa nje bila ushirikiano na watu wa ndani.
Security Conscious ni uwezo wa kuinusa hatari ya usalama wa taifa kwa mbali kabla haijatokea, hivyo hili ni bandiko la kizalendo la kutoa angalizo kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuwa kuna kitu hawa mabeberu wa Marekani wanakipanga kuhusu Tanzania kwa siku zijazo, sasa ili kukihalalisha, wanapenyeza watu wao kwa makini kabisa na very strategically kutafuta local collaborators ili muda muafaka wa kufanya yao ukifika, hao local collaborators ndio watatumiwa na kuonekana ni Watanzania wenyewe.
Mpango wenyewe uko hivi:
Jumatatu njema
- Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, Wamarekani hawapendi.
- Wamarekani wanalazimisha modal yao ya demokrasia iwe ndio standard democratic modal kwa nchi zote, bila kuzingatia Tanzania tuna modal yetu ya demokrasia ambayo ni part of African Democracy, ambayo inaruhusu nchi ya vyama vingi, kufanya uchaguzi wa vyama vingi na chama kimoja kupata ushindi wa 99.9% na uchaguzi ukawa ni wa kidemokrasia, huru na wa haki kama ilivyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wao mabeberu hawa wa Marekani hawataki kukubali hilo
- Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili hili lisitokee, Marekani itatumia fedha nyingi sana kufund political dissidents ili kuonyeshea dunia jinsi rais Magufuli anavyopingwa.
- Baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 90+% kwa rais Magufuli na CCM, kwa uchaguzi wa mwaka huu, kuna watu watapangwa kuleta chokochoko na vitendo vya kigaidi, hivyo kupitia mkataba wa ugaidi na Marekani, Marekani inaweza kuingia nchi yoyote kwa kisingizio cha kusaka magaidi ila lengo lao sio kusaka magaidi bali ku fund dissidents kum distabilize Magufuli.
- Pia Marekani inataka kulazimisha human rights records zake kuwa ndio standards records kitendo cha kumzui Makonda kuingia Marekani, mlengwa sio Makonda, Makonda ni chambo tuu, lengo ni kuichafua taswira ya nchi yetu kimataifa tuonekane tuna bad human rights records, wakati kiukweli Marekani ina worse human rights records kuliko sisi!.
- Katika utekelezaji wa nia hii ovu, Marekani kwa kutumia taasisi zake, imeanza kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwa kudai kuwa serikali ya rais Magufuli inaendeshwa kwa mfumo Kistu hivyo ku fund Muslim extremist na fundamentalists kuwa magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi.
- Tayari baadhi ya Taasisi za Kimarekani zimeanza kuandika utabiri wa kuibuka kwa ugaidi Tanzania baada ya rais Magufuli kushinda.
- Mtanzania Mzalendo mwenye security conscious akisoma mahali na kubaini kuna kitu ambacho sio kizuri kinapangwa dhidi ya nchi yake, jukumu lake ni kusema tuu alichokisoma na anacho kiona.
- Ni jukumu la vyombo vyetu vya usalama, sio kuzingatia kila kinachosemwa mitandaoni kuhusu usalama wa taifa letu lakini pia wakisikia kitu sio kuzipuuzia.
- Mimi kama Mzalendo nimetimiza wajibu wangu, sasa niwapeleke kwenye makala yenyewe ya bandiko hili ambayo imetokana na bandiko hili la mwana jf dada yetu al maaruf kwa jina la Faiza Foxy USA yaendelea kuichimba Tanzania
- Hoja hizi 54, zenye maswali 33 ni maswali ya msingi sana, japo kuna hoja za urongo humu sio za kuzizingatia, lakini pia kuna hoja za ukweli, sio za kuzipuuzia
Paskali
Ni nchi Gan dunian upinzani unasifia serekal na ninch Gan dunian wapinzani wanaitishia serekal kwamba isipo Fata kama wanavyo taka woa nchi itaingia kwenye matatizo kwa nin magaid waje wapige raia wa kawaida na wasiwapige ccm Kwan marekan anashindwa kumpigia ccm au sis ndio Mbuzi wa kafara ili watu wapate wanacho kitaka siasa ni mchezo mchafu raia wataumia kwa sababu tu watu fulan hawaelewani hiv unafikir chadema akishika nchi ccm watakua huru au nyie mnachukuliaje siasa ukitaka ujue siasa mchezo mchafu oa wake wawili ndio utapata mfano mdogo utao kufungulia mwangaHuwa sina imani na serikali ya Marekani hata wakisema wanatetea raia ila huwa wana mpango mzito nyuma ya pazia.
Lakini Viongozi wengi wa Africa ndiyo chanzo cha kumpa kiburi na njia Marekani ya kuingia na hoja zake. Maana wakiwa madarakani hujiona miungu watu, huona wengine takataka tu na kuona hawana haki ya kuongea mbele yao na kupenda wasifiwe tu hata kwa vitu visivyosifika!
Kwa mambo kama haya na mengine yafananayo na hayo, unadhani FFU wa dunia (USA) ataachaje kuingilia kati?
Jiulize, je hoja zao zina nguvu? Jitathmini jinsi ulivyo. Maana hawaingii kwa uonezi lazima zinakuwepo sababu tena zilizoshiba.
Isije ikawa mada yako umeileta kivingine ili WaTz wote tuanze kusifu na kuabudu miungu watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman unayo ikosa wewe ni ipiNimesoma karibu yote, chanzo cha yote uliyoyataja unamjua. Mwambie yeye kwanza ajirekebishe na ndiye anayetakiwa kuwa makini, arudishe Amani na Umoja tuliokuwa nao kabla yeye hajaingia madarakani. CCM wote ni mafisadi na wezi wakubwa hakua masafi.
Tumewaacha wajirundikie mali wapendavyo maana Tanzania viongozi wapo juu ya sheria na raia hawana cha kuwafanya.Tunataka Uhuru na Amani mtaani, mambo ya kubambikiana kesi na utekaji ukome, tumesharidhika na maisha tuliyonayo.
Nitajie hao Waislamu 2 Majaliwa na Samia nini wamewahi kufanya au ku-influence? Hao ni danganya toto tu, kukubwa wanachofanya ni kuhudhuria mkutano ya nje ya Tanzania ambayo yeye haendi. Kimsingi Makonda na Kabudi wana nguvu ya maamuzi kuliko Waziri Mkuu na Makamu.
Bro so longer hapa Tz kuna Cabinet ambacho ndio chombo cha juu cha kumshauri Rais na pia kufanya maamuzi hapa Tz hakuna one man band. Na Mh Majaliwa hajawahi kuleta wanunuzi wa korosho ila Bodi ya korosho ilitaka kuleta zengwe. Alafu ishu ya shangazi ni utani tu.Toa mfano wa maamuzi ambayo wamewahi kufanya na yanayoakisi uzito wa nafasi zao!! Ungejua kuwa wamewahi ku -attempt kuresign usingethubutu kubisha.
Chukua mfano wa Majaliwa alipoleta wanunuzi wa korosho aliambiwaje mbele ya vyombo vya habari. Kungekuwa na Team Work asingetoa ile kauli ya "Tutapiga mpaka shangazi zako"
Wanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 54 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake. Hakuna hujuma yoyote kama ugaidi, inaweza kupangwa na watu wa nje bila ushirikiano na watu wa ndani.
Security Conscious ni uwezo wa kuinusa hatari ya usalama wa taifa kwa mbali kabla haijatokea, hivyo hili ni bandiko la kizalendo la kutoa angalizo kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuwa kuna kitu hawa mabeberu wa Marekani wanakipanga kuhusu Tanzania kwa siku zijazo, sasa ili kukihalalisha, wanapenyeza watu wao kwa makini kabisa na very strategically kutafuta local collaborators ili muda muafaka wa kufanya yao ukifika, hao local collaborators ndio watatumiwa na kuonekana ni Watanzania wenyewe.
Mpango wenyewe uko hivi:
Jumatatu njema
- Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, Wamarekani hawapendi.
- Wamarekani wanalazimisha modal yao ya demokrasia iwe ndio standard democratic modal kwa nchi zote, bila kuzingatia Tanzania tuna modal yetu ya demokrasia ambayo ni part of African Democracy, ambayo inaruhusu nchi ya vyama vingi, kufanya uchaguzi wa vyama vingi na chama kimoja kupata ushindi wa 99.9% na uchaguzi ukawa ni wa kidemokrasia, huru na wa haki kama ilivyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wao mabeberu hawa wa Marekani hawataki kukubali hilo
- Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili hili lisitokee, Marekani itatumia fedha nyingi sana kufund political dissidents ili kuonyeshea dunia jinsi rais Magufuli anavyopingwa.
- Baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 90+% kwa rais Magufuli na CCM, kwa uchaguzi wa mwaka huu, kuna watu watapangwa kuleta chokochoko na vitendo vya kigaidi, hivyo kupitia mkataba wa ugaidi na Marekani, Marekani inaweza kuingia nchi yoyote kwa kisingizio cha kusaka magaidi ila lengo lao sio kusaka magaidi bali ku fund dissidents kum distabilize Magufuli.
- Pia Marekani inataka kulazimisha human rights records zake kuwa ndio standards records kitendo cha kumzui Makonda kuingia Marekani, mlengwa sio Makonda, Makonda ni chambo tuu, lengo ni kuichafua taswira ya nchi yetu kimataifa tuonekane tuna bad human rights records, wakati kiukweli Marekani ina worse human rights records kuliko sisi!.
- Katika utekelezaji wa nia hii ovu, Marekani kwa kutumia taasisi zake, imeanza kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwa kudai kuwa serikali ya rais Magufuli inaendeshwa kwa mfumo Kistu hivyo ku fund Muslim extremist na fundamentalists kuwa magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi.
- Tayari baadhi ya Taasisi za Kimarekani zimeanza kuandika utabiri wa kuibuka kwa ugaidi Tanzania baada ya rais Magufuli kushinda.
- Mtanzania Mzalendo mwenye security conscious akisoma mahali na kubaini kuna kitu ambacho sio kizuri kinapangwa dhidi ya nchi yake, jukumu lake ni kusema tuu alichokisoma na anacho kiona.
- Ni jukumu la vyombo vyetu vya usalama, sio kuzingatia kila kinachosemwa mitandaoni kuhusu usalama wa taifa letu lakini pia wakisikia kitu sio kuzipuuzia.
- Mimi kama Mzalendo nimetimiza wajibu wangu, sasa niwapeleke kwenye makala yenyewe ya bandiko hili ambayo imetokana na bandiko hili la mwana jf dada yetu al maaruf kwa jina la Faiza Foxy USA yaendelea kuichimba Tanzania
- Hoja hizi 54, zenye maswali 33 ni maswali ya msingi sana, japo kuna hoja za urongo humu sio za kuzizingatia, lakini pia kuna hoja za ukweli, sio za kuzipuuzia
Paskali
Mnafiki huyo njaa inamtesa!!Paskali, nakushangaa sana unaposema "Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ......." Kweli unataka tukuamini kuwa wewe umetimiza wajibu wako kama mzalendo kwa haya maneno? Vitendo vilivyofanyika ktk kile kinachoitwa uchaguzi wa serekali za mitaa siyo cha kupongezwa na mzalendo yoyote, maana ni mbegu hatari ya kuchochea hicho mabeberu wanachotabiri.
Ukiwa mbinafsi kama unavyojionesha hapa, lazima ujitoe ufahamu.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 54 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake. Hakuna hujuma yoyote kama ugaidi, inaweza kupangwa na watu wa nje bila ushirikiano na watu wa ndani.
Security Conscious ni uwezo wa kuinusa hatari ya usalama wa taifa kwa mbali kabla haijatokea, hivyo hili ni bandiko la kizalendo la kutoa angalizo kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuwa kuna kitu hawa mabeberu wa Marekani wanakipanga kuhusu Tanzania kwa siku zijazo, sasa ili kukihalalisha, wanapenyeza watu wao kwa makini kabisa na very strategically kutafuta local collaborators ili muda muafaka wa kufanya yao ukifika, hao local collaborators ndio watatumiwa na kuonekana ni Watanzania wenyewe.
Mpango wenyewe uko hivi:
Jumatatu njema
- Kuna mambo ya jinsi rais Magufuli anavyoendesha nchi, Wamarekani hawapendi.
- Wamarekani wanalazimisha modal yao ya demokrasia iwe ndio standard democratic modal kwa nchi zote, bila kuzingatia Tanzania tuna modal yetu ya demokrasia ambayo ni part of African Democracy, ambayo inaruhusu nchi ya vyama vingi, kufanya uchaguzi wa vyama vingi na chama kimoja kupata ushindi wa 99.9% na uchaguzi ukawa ni wa kidemokrasia, huru na wa haki kama ilivyo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wao mabeberu hawa wa Marekani hawataki kukubali hilo
- Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ili hili lisitokee, Marekani itatumia fedha nyingi sana kufund political dissidents ili kuonyeshea dunia jinsi rais Magufuli anavyopingwa.
- Baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 90+% kwa rais Magufuli na CCM, kwa uchaguzi wa mwaka huu, kuna watu watapangwa kuleta chokochoko na vitendo vya kigaidi, hivyo kupitia mkataba wa ugaidi na Marekani, Marekani inaweza kuingia nchi yoyote kwa kisingizio cha kusaka magaidi ila lengo lao sio kusaka magaidi bali ku fund dissidents kum distabilize Magufuli.
- Pia Marekani inataka kulazimisha human rights records zake kuwa ndio standards records kitendo cha kumzui Makonda kuingia Marekani, mlengwa sio Makonda, Makonda ni chambo tuu, lengo ni kuichafua taswira ya nchi yetu kimataifa tuonekane tuna bad human rights records, wakati kiukweli Marekani ina worse human rights records kuliko sisi!.
- Katika utekelezaji wa nia hii ovu, Marekani kwa kutumia taasisi zake, imeanza kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwa kudai kuwa serikali ya rais Magufuli inaendeshwa kwa mfumo Kistu hivyo ku fund Muslim extremist na fundamentalists kuwa magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi.
- Tayari baadhi ya Taasisi za Kimarekani zimeanza kuandika utabiri wa kuibuka kwa ugaidi Tanzania baada ya rais Magufuli kushinda.
- Mtanzania Mzalendo mwenye security conscious akisoma mahali na kubaini kuna kitu ambacho sio kizuri kinapangwa dhidi ya nchi yake, jukumu lake ni kusema tuu alichokisoma na anacho kiona.
- Ni jukumu la vyombo vyetu vya usalama, sio kuzingatia kila kinachosemwa mitandaoni kuhusu usalama wa taifa letu lakini pia wakisikia kitu sio kuzipuuzia.
- Mimi kama Mzalendo nimetimiza wajibu wangu, sasa niwapeleke kwenye makala yenyewe ya bandiko hili ambayo imetokana na bandiko hili la mwana jf dada yetu al maaruf kwa jina la Faiza Foxy USA yaendelea kuichimba Tanzania
- Hoja hizi 54, zenye maswali 33 ni maswali ya msingi sana, japo kuna hoja za urongo humu sio za kuzizingatia, lakini pia kuna hoja za ukweli, sio za kuzipuuzia
Paskali
Tanzania haina umuhimu kivile kwa Marekani mpaka Marekani ianze kufikiria suala la ‘regime change’.
Mnajipa umuhimu ambao hamna mbele ya Marekani:
Sasa lugha hizi za kubaguana ndo zilikataliwa tangu mwanzo na chama chetu. Ila kumekuja kuzuka mtindo huu wa kutukanana bila kiongozi yeyote kukemea. Hii si afya kwetu TZ.
Wewe ni robot, betri ukiisha wanachomoa wana recharge. Cabinet meetings ni mahali pa kupokelea maagizo ya Jiwe tu. Hakuna mwenye mawazo mbadala ambaye anapata fursa ya kwasilisha mawazo yake. Siwezi kukuelewesha zaidiBro so longer hapa Tz kuna Cabinet ambacho ndio chombo cha juu cha kumshauri Rais na pia kufanya maamuzi hapa Tz hakuna one man band. Na Mh Majaliwa hajawahi kuleta wanunuzi wa korosho ila Bodi ya korosho ilitaka kuleta zengwe. Alafu ishu ya shangazi ni utani tu.
Ulisha attend hata moja? Au sababu alitaka akuchomoe nyota moja pale butimba prison.(acha chuki)Wewe ni robot, betri ukiisha wanachomoa wana recharge. Cabinet meetings ni mahali pa kupokelea maagizo ya Jiwe tu. Hakuna mwenye mawazo mbadala ambaye anapata fursa ya kwasilisha mawazo yake. Siwezi kukuelewesha zaidi
Usimjibumpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye... (Mithali 24:6)Ulisha attend hata moja? Au sababu alitaka akuchomoe nyota moja pale butimba prison.(acha chuki)
NonsenseWanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 54 kati ya
Jumatatu njema
- Kufuatia ushindi wa CCM wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na sasa ndicho kinachokwenda kutokea kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
- Baada ya ushindi wa kishindo cha asilimia 90+% kwa rais Magufuli na CCM, kwa uchaguzi wa mwaka huu.
Paskali
It all depends upon the size of your gray matter in the skull. If you are low capacity brain it's really nonsense, but if you areloaded with brains there is a lot of sense in Pascal Mayalla post.Nonsense