Kabla ya kuuliza swali unatakiwa japo utumie kichwa mara moja kufikiri.Hivi mtume na wafuasi wake walikuwa wanajilipua au kuua wapita njia?
Nilikua nashangaa ikifika christmass ofusi za umma zinapambwa sana kumbe pesa zetu ila kadi za kutakiana iddi njema wao waislamu walikuwa wananua wenyewe duuuuu..dhulma ilioje hii wakiongea mnasema wanawaonea gere bado kuna mengi mh raisi ..
Mimi sijaelewa,kwani Serikali ilikuwa inachapisha XMAS card kuwapongeza wakina nani?
Nani kakwambia pesa za mlo mmoja wa watu 20 zilitoka serikalini.Mbona kufuturisha mwezi mtukufu husemi?
Nani kakwambia pesa za mlo mmoja wa watu 20 zilitoka serikalini.
Au jana ulikesha kwenye misa usiku?
Raisi akiandaa futari pesa anatoa mfukoni?
Tshirt zina umuhimu wake mkuu llabda watafute njia mbadala za kupata tshirt hizo kwa kalenda nakuunga mkono
Kabla ya kutopoka unatakiwa Ukachunguze kwanza.Raisi akiandaa futari pesa anatoa mfukoni?
Kabla ya kutopoka unatakiwa Ukachunguze kwanza.
Mimi binafsi naweza kulisha watu 50 mpk 100 mlo mmoja itakuwa ajabu ipi kwa Rais kutoa pesa zake mfukoni kulisha mlo mmoja watu 20 mpk 30?
Wagalatia mmezoea vya Bure awamu hii lzm mkatafute kazi ili mlipie hayo makaratasi yenu. Sio kukinga mikono tu mkisubiri Kodi zetu.
Teh teh teh.Ucpanic....unajua rais ni taasisi? Anapoandaa chakula pale ikulu ovsly anatumia kodi ya wtz ukiwemo wewe?
Serikali iendelee kupekua.
Na lile lisanamu la faza krismas linaveshwa nguo nyekundu kila mwaka linakaa maofisini utadhan ofiz za umma ni makanisa magufuli hakikisha zinaondoka zile.
Safi sana maana angefanya kikwete wangesema ni mdini.
Haya sasa Tuone.
Kinakukera nini?Ile miti,taa za vimulimuli,pamba mfano wa theluji,mti wa bandia kuwekwa mapokezi,sauti ya nyimbo zitokazo kwenye muunganiko wa taa na kijinanda au ni nini hasa hadi umuite CAG?Imekaaje hii. CAG angalia na hilo