Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki
 
Sijui ni cheap popularity au ndo mind games tunachezewa. Yani hata hili ni la kuita press Kweli?
 
Tukielekea kwenye sherehe za mwisho wa mwaka (KRISMASI na Mwaka mpya) maafisa masurufu huchekelea maana kuna hela ya bwerer inakuja kupitia ununuzi wa Miti ya kusherehekea KRISMASI, kadi za kupongezana (sijui kwa lipi) huu ni ufisadi wa kimya kimya ambao hata wabunge wa upinzani huwasikii wanalizungumzia, Mheshimiwa Waziri Mkuu hili ndo la kuanza nalo kikamilifu.
 
Siku tukikuta hizo hela mnazosema kuwa zilielekezwakwenye kazi nyingine zimepigwa na wajanja ndipo mtapojuakiwango cha munkari wetu....
Bila shaka wewe utakuwa ni mmoja wa wanufaika wa tender za kuchapisha hizo kadi. Pole mkuu; mabadiliko ndiyo kwanza yanaanza...yakishika kasi lazima mtakimbia nchi.
 
Hata mimi nilikuwa nawaza jambo hilihili..., hahahahahahah...., daah.., kweli hapa kazi tu..!
 
KWA KUWA HAYA MAMBO YA MACHAPISHO, SHEREHE NA UPUZI WOTE WA AINA HII UNAKUWA CHINI YA VITENGO VYA PUBLIC RELATIONS AU MAWASILIANO NASHAURI NAVYO HIVYO VITENGO VIFUTWE...HAWA WATU NI WAPIGAJI WA KUBWA WA RASLIMALI KUANZIA PRIVATE SECTOR MPAKA PUBLIC SECTOR...UTAJIULIZA FAIDA YAO NI NINI WAKATI TAASISI WANAZOZISIMAMIA HAZINA MAHUSIANO MAZURI KABISA NA WATEJA AU WANANCHI. HAKUNA KINACHOJULIKANA. HEBU CHUKULIA ISHU YA ESCROW KAMA KWELI WANGEKUWA WATU WANAJALI WATEJA WAO BILA SHAKA TUNGEJUA KINACHOENDELEA....MBAYA ZADI NI WANAWAKE AU VIBINTI...SSRA, PPF, NSSF, TCRA..mwanaume pale..OFISI YA WAZIRI MKUU NASIKIA KUNA KITENGO CHA SHEREHE BILA SHAAKA NI WAKATI MUAFAKA KUKIFUTA...KINA HELA NYINGI KULIKO KILE CHA MAAFA...IT SHOWS HOW POR WE ARE IN PRIORITIZING...

MAGUFULI WAFUTWE TU NASEMA WAFUTWE!
 
Ni marufuku wachagga kwenda moshi, hela hizo za pombe na matambiko zielekezwe kwenye kusafisha mitaro ya maji taka Dar. Mwenyekiti wa wachagga Dar
 
Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki

Speculations na hofu zako tu. Kama JK alikuwa anawaza kama ulivyowaza wewe hapa ningemshangaa sana. Kwani dini ndizo zinachagua rais wa nchi? Utetezi dhidi ya hilo ni rahisi sana, nchi hii haiongozwi kidini, ni secular, sasa hao wenye hizo dini wangetoa hoja gani? Kama wanataka kupamba kwa 'mikrismasi' au kadi za krismasi si wapambe kwenye Ofisi za binafsi au majumbani mwao? Hizo zilikuwa dili tu za kuiba pesa za umma.

Vv
 
Kasim akipiga marufuku ataonekana MDINI, mwache mwenzao ndo apige marufuku
 
Nilikua nashangaa ikifika christmass ofusi za umma zinapambwa sana kumbe pesa zetu ila kadi za kutakiana iddi njema wao waislamu walikuwa wananua wenyewe duuuuu..dhulma ilioje hii wakiongea mnasema wanawaonea gere bado kuna mengi mh raisi ..
 
Mambo hayo yafanyike mpaka kwenye kufuturisha.
sio raisi mwezi mzima kufutaarisha watu tu, sijui wazee wa dar, mara mabalozi walio bongo, mara wabunge na mawaziri, ikulu sherehe kibao, mara arusi ya mtoto wa wa ikulu utafikiri ikulu ilikuwa mgahawa, sasa naona ikulu itarudi heshima yake, sio wakina almasi na wakina wema, mpoto, kiba na wengine wengi tu wanakwenda ikulu kupiga self na mwenyenyumba.
 
I see, kweli nchi hii imejaa uozo. Mh. Raisi anasafisha uvundo...
 
Iliyopita ilikuwa ni serikali ya safari, hii ya awamu ya tano ni ya "MARUFUKU"
 
Back
Top Bottom