mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
kwa hiyo mji wetu hautapendeza tena, basi na wapige marufuku video kwenye sehemu ya kusubiri wageni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba si kadi za Krismas, Mwaka mpya na Heri ya Pasaka pekee zilizokuwa zikitengenezwa...Hata kadi za Iddi na Maulid zimekuwa zikitengenezwa...Na tangazo/katazo hili linalenga sikukuu zote hizi na wameanza tu na Krismas na Mwaka mpya..
Hata Idd na Maulid zinahusika pia...
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!Haki ipi unayoizungumzia Chifu?
Kama ni Kadi za Krismas na Mwaka mpya zipo tele madukani...Watu wakanunue kwa hela zao..Sio serikali inaingia gharama kuzitengeneza...
Lengo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na hela zikatumika kwa mambo ya msingi na si udini kama unavyodhani....Mwaka mpya hauna Dini...Serikali haina Dini...
Ungejua gharama zinazolipwa lwa wazabuni kutengeneza hizi kadi usingekuja na malalamiko yako haya...Watu wanapiga hela Chifu...Wanapiga hela nyingi sana kwa kichapisha hizi kadi...
Suala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!Haki ipi unayoizungumzia Chifu?
Kama ni Kadi za Krismas na Mwaka mpya zipo tele madukani...Watu wakanunue kwa hela zao..Sio serikali inaingia gharama kuzitengeneza...
Lengo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na hela zikatumika kwa mambo ya msingi na si udini kama unavyodhani....Mwaka mpya hauna Dini...Serikali haina Dini...
Ungejua gharama zinazolipwa lwa wazabuni kutengeneza hizi kadi usingekuja na malalamiko yako haya...Watu wanapiga hela Chifu...Wanapiga hela nyingi sana kwa kichapisha hizi kadi...
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!
Mbona kwenye safari za nje husemi kama mkristu ama muislamu, tatizo lenu watu kama ninyi ndiyo mnafanya watu waichukie dini ya Kiislamu maana kila kukicha tumeonewa tumeonewa kama hakuna kitu kingine zaidi ya dini. Ukiende mbele ya safari ukiambiwa hakuna kitu kama hicho sijui utasemaje japo mimi binafsi naamini hivyo. Huu wepesi wa kuelewa mambo ama kuchukua mambo kivingine ndiyo maana baadhi yetu wanajiua kwa kujilipua wakiaamini wnachoaambiwa elimika karne ya 21 usiwe muislam wa karne ya 7
Ngwajima ange itisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya.....Sipati picha tamko lingetolewa wakati wa kikwete,naona angezimia kama sio kufa kabisa kwa maneno ya "wanafiki"
Katazo ni sikukuu za chrismass na mwaka mpya kama na iddi ilikuwa hivyo ingeanishwa kwenye hiyo release lakini haipo na iko wazi tu kuwa kipindi hicho ndicho ambacho ofisi za umma zinapambwa mikrismasi na mataa ya kuwakawaka ni gharama za nani zinatumika kupamba ofisi za umma kama si serikali??
Suala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!
Mkuu nakuunga mkono, haya yangefanyika wakati wa JK wimbo mkuu hapa ingekuwa JK mdini, JK mpinga kristo sasa amefanya mwenzao kimyaaa! KILA TEUZI ALOKUWA AKIFANYA JK ILIKUWA INAKUWA DISSCUSSED KWA MTAZAMO WA KIDINI. Wakristo waafrika ni wanafiki sana. Ndo maan nawapongeza wazungu na wayahudi hawana ujinga huu, zigo lote wamewaachia waafrika wanahangaika naloSuala hapa ni Unafiki na Uzandiki uliopo. Tunaishi dunia tunayoijua. Cha kushangaza ukiingia ofisini za umma unapokelewa na nyimbo za kwaya. is that fair? who speaketh on that? Magufuli tumbua hayo majipu turudi kwenye Utanzania wetu!!
Katazo ni sikukuu za chrismass na mwaka mpya kama na iddi ilikuwa hivyo ingeanishwa kwenye hiyo release lakini haipo na iko wazi tu kuwa kipindi hicho ndicho ambacho ofisi za umma zinapambwa mikrismasi na mataa ya kuwakawaka ni gharama za nani zinatumika kupamba ofisi za umma kama si serikali??
Ni agizo lililotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi. Marufuku shirika, taasisi au Idara ya Serikali kuchapisha hizo kadi. Fedha zilizotengwa zitumike kupunguza madeni ya wizara, taasisi na idara. Anayetaka kuchapisha, ametakiwa afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Chanzo: Taarifa ya Ikulu.
Ningekuwa Rais Magufuli, ningeanza kumuwajibisha Sefue. Sefue kama Katibu Mkuu Kiongozi, hajaonekana kudhibiti utendaji serikalini pamoja na kusimamia matumizi ya fedha. Hivi sasa anaongozwa na dhamira ya woga baada ya Rais kuanza kudhibiti maeneo ambayo yeye kama KMK alikuwa anatarajiwa kufanya. Ninamshauri rungu la JPM lianzie kwa kusafisha ofisi ya KMK.Safiiii tunapoteza fedha kizembezembe
Santeeee! Futeni kabisa Na hizi dini za watu weupe uislam/ukristo,Na serikali ianzishe dini mpya itakayoaminiwa Na watanzania wote.
Nalog off