Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Mlioko maofisini kama hukunuua gari wala kujenga bangaloo nyakati za JK basi usitegemee kujenga tena kwenye miaka 10 hii inayofuata.. Anzeni tu kukopa nyumba za NHC..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutakua na tatizo iwapo pia mkwara utatolewa kuhusu kufuturisha.
Usisahau na futari za kipuuzi pale Magogoni wanakusanyana kuteketeza kodi kwa vyakula lundo nimefurahi kupigwa marufuku ujinga wa aina hii,kadi bandika kwenu na futari kale mama ako bravo JPM.
Hahahahahahahahah! Mkuu unachekesha sanaChenge anawasoma tu mnavyozichanga,,anasubiri viwe vingi hivyo visenti akwapue na mkewe Tiba wakanunue mboga.
Sasa, tangazo linasema kwa mwaka huu. Hsta ishy ya sherehe za uhuru pia walisema ni kwa mwaka huu! Ina maana mwakani haya mambo yataendelea km kawaida?
Mkuu nakuunga mkono, haya yangefanyika wakati wa JK wimbo mkuu hapa ingekuwa JK mdini, JK mpinga kristo sasa amefanya mwenzao kimyaaa! KILA TEUZI ALOKUWA AKIFANYA JK ILIKUWA INAKUWA DISSCUSSED KWA MTAZAMO WA KIDINI. Wakristo waafrika ni wanafiki sana. Ndo maan nawapongeza wazungu na wayahudi hawana ujinga huu, zigo lote wamewaachia waafrika wanahangaika nalo
Mkuu hujamuelewa uliyemquoteHaki ipi unayoizungumzia Chifu?
Kama ni Kadi za Krismas na Mwaka mpya zipo tele madukani...Watu wakanunue kwa hela zao..Sio serikali inaingia gharama kuzitengeneza...
Lengo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na hela zikatumika kwa mambo ya msingi na si udini kama unavyodhani....Mwaka mpya hauna Dini...Serikali haina Dini...
Ungejua gharama zinazolipwa lwa wazabuni kutengeneza hizi kadi usingekuja na malalamiko yako haya...Watu wanapiga hela Chifu...Wanapiga hela nyingi sana kwa kichapisha hizi kadi...
si hakuna pesa hazina ya kuratibu ,ni jadi ya watumishi wa serikali kufanya hivyo ifikapo christmas,issue ni kwamba nchi hii inahela nyingi sana ambazo mambo haya ya kadi ni vitu vidogo sana kama kulinganisha 500 na 2000000000 gharama ya hivo vikadi,hapa ni propaganda sehemu zenye pesa wala, wapo kimya sana,na kwasababu maoni ni ushabiki bila tafakari ndo kuandaa shimo kubwa halafu vipofu wanaambiwa kuna shimo njia hiyo wanajibu "tumependa tupite njia hii hilo shimo sisi hatulioni"
***** zako nyie si kila siku mnalia na dau wa nssf au mnadhani tumesahau?Wakristo sio watu sensitive kukimbilia kwenye dini,kifupi sio watu wa Kulialia eti oooh tumeonewa ,mala ooo tunabaguliwa hiyo ni tabia ya akina naniliu
Na mikrismasi tree je?
Tatizo la makafir wanaona wadini ni waislam tu, umemsahau Ishmael na mwenzake yahoo? Mnavyoilalamikia nssf mnazani hatuoni?Kwa taarifa yako mitazamo ya kidini imeshamiri sana wakati wa JK na wala sio awamu hii mpya ya Magufuli. Kuna mbegu mbaya imepandikizwa wakati wa utawala wa JK na ccm, kama mambo ya ukanda, udini nk. ili kuficha udhaifu wa uongozi wake. Sasa hivi hakuna tena mtu mwenye mitazamo ya kidini maana tunaona Magufuli wangalau anafanya(tumbua jipu) bila kuangalia huo upumbavu kwani sio dhaifu. Hizi hatua anazochukua haziangalii dini, sura wala mwanaccm mwenzake ndio maana huoni watu wakikimbilia kwenye mitazamo ya kidini kwani hafanyi kwa hila. Mimi hapa ni mkristu na simfii hata kidogo Magufuli fuatilia post zangu, japo nakubali hatua anazochukua kwani naona kabisa haingii kwenye udhaifu wa mtangulizi wake. Nadhani sasa hivi unaanza kuona wale wadini wakubwa wakikosa hoja akina Faizafox, ritz, nk kwani hizi hatua zinakula kwa wote bila kujali ni muslamu, mkristu, mpagani, mwanaccm, cdm au raia wa kawaida bali kama hufuati utaratibu imekula kwako. Usishangae hao waliokuwa wanajinasibisha na teuzi za kidini wakaanza kushindwa speed ya Magufuli maana kichaka cha dini hakiwezi kumkinga tena mzembe na mla rushwa mbele yake. Mimi kwa ushauri wangu huyo Magufuli akiweza ajaze hata waislamu maana hatutampima kwa Qoran bali utendaje wake.