Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Mnaandika lakini.

Sefue sahizi anacheza kama Zidane hivi!!
Kweli utamu wa pipi mate!!
 
Wateja wa bar na guest house wameanza kupungua kwa kasi sana siku hizi na adabu imeanza kuja kwa kazi sana tutaheshimiana tu
 
Afadhali hii issue imeanza na Xmas ingeanza na kufuturisha pasingetosha!

Wizara na manispaa na viunga vingine vya serikali kumbe vinatumiaga pesa za umma kufuturisha? Vipi na card za idd
 
Lini anafumuafumua mikataba ya gesi na madini?asidhibiti tu matumizi pia na vyazo vya mapato aangalie
 
Wizara na manispaa na viunga vingine vya serikali kumbe vinatumiaga pesa za umma kufuturisha? Vipi na card za idd

Wale wanaofuturu ikulu huwa wanachangia??!!
 
Afadhali manake ukiangalia zilitengwa kiasi gani ni aibu!Hongera kwa kuendelea kuziba matundu ya wapigaji
 
Sasa nimeanza kuona utamu wa kile kibwagizo cha ule wimbo wetu.............wacha waisome number eehhh....ccm mbele kwa mbele,mhhh sina uhakika kama hapa wanaoisoma number ni UKAWA au ni sisi wenye kibwagizo chetu tuliokuwa tunawadhihaki waleee......Yaani raha mpaka bhasss!!
 
Ni utashi wa mtu...Kuna wengine wanaweka nyimbo za Kaswida maofisini...

Binafsi sioni ajabu/tatizo mtu kusikiliza nyimbo za Dini ofisini...Tatizo ni kutumia ofisi za serikali/nyenzo za serikali katika masuala ya kidini/Kuhubiri Dini maofisini

Hizo kaswida na nyimbo za dini unatumia betri zako au umeme wa serikali ya Magufuli!!?

Wapige stop pia kucharge simu maofisini kusave gharama za umeme!!
 
Du!!huyu jamaa komputer yake ina kitufe cha DELETE tu,kile cha ACCEPT hakipo-By Eddo Kumwembe.
 
Ni vizuri kupongeza kila jema linapofanyika... Kupunguza matumizi ya serikali ni kupunguza pia huu upuuzi unaofanyika maofisini. Hilo shimo unalolisema ndio wanakoenda kukuziba pia.. Huwezi kufanya mambo yote kwa usiku mmoja tu.

unajua maana ya mwaka huu tu?hakuna cha kupongeza hapo usani usani tu
 
Mwaka huu hata vile vimbuzi vinavyotolewa na ikulu kwenye sikukuu zimefutwa.
 
Kama wewe ni mtumishi wa umma uliyenunua nguo mpya kwa sababu ya zamani imekubana, chukua tahadhari usitupe kuna kila dalili miili iliyofutuka kurudi normal.
 
Kweli Mkuu! Tatizi si kwamba TZ ni nchi maskini - kwa kuwa kwa kweli si nchi maskini. JPM anaonyesha aina ya uongozi unaotakiwa. Tutafanya mambo mengi, hata reli ya SGR tutajenga kwa ku-prioritize. Upuuzi wa ku-budget chai na vitafunio vya billions of sh yatayeyuka.
 
Mwaka huu kazi ipo.Nje hatuendi,Maadhimisho hatuhudhurii,kadi za X- Mass hatupati,Hafla hatuzamii,Watoto wetu haraiki hawaendi kupata viji posho na traksuit pamoja na kofia,tenda za kofia,traksuit,PA,Mapishi,tSHIRT,usafiri,kutoa burudani HAKUNA!!!Daah tutaisoma namba kinyume nyume!!
 
kunapoelekea hizi sikukuu zitabaki mbili tu..
 
Back
Top Bottom