Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangepiga marufuku na hizo salamu za pongezi. Yaani mpaka leo magazeti yote yanaendelea nayo....
Santeeee! Futeni kabisa Na hizi dini za watu weupe uislam/ukristo,Na serikali ianzishe dini mpya itakayoaminiwa Na watanzania wote.
Nalog off
umeingea vizuri ila umemaliza vibaya,nikuambie tu uislam hauna karne hii sio dini ya kuedit na matamko,aichokiamini muislam wa karne ya10 ndicho kinachoaminiwa mpk sasa hakuna tofauti,uzuri dini hii ni ya MUNGU haiongozwi na binadamu.
Suppose press release hii ingetolewa kipindi cha JK? hali ingekuwaje!
Nilikua nashangaa ikifika christmass ofusi za umma zinapambwa sana kumbe pesa zetu ila kadi za kutakiana iddi njema wao waislamu walikuwa wananua wenyewe duuuuu..dhulma ilioje hii wakiongea mnasema wanawaonea gere bado kuna mengi mh raisi ..
Acha ujinga wewe, kila teuzi ya JK mlikuwa mnalialia humu kila siku, hadi shule za kata mnazilalamikia eti JK kawajengea waislamu wenzake!Wakristo sio watu sensitive kukimbilia kwenye dini,kifupi sio watu wa Kulialia eti oooh tumeonewa ,mala ooo tunabaguliwa hiyo ni tabia ya akina naniliu
Serikal itarudisha vp pesa walizotumia ktk campaign
Usiwe na shaka, ni sehemu chache sana za umma zilizokuwa zinapambwa. Taasisi binafsi ndio huwa zinamwaga mapambo na hilo katazo halizihusu. Utaendelea kuyapata mapambo kwenye mabenki, shopping malls na mahoteli makubwa yote kama kawaidakwa hiyo mji wetu hautapendeza tena, basi na wapige marufuku video kwenye sehemu ya kusubiri wageni.
Acha ujinga wewe, kila teuzi ya JK mlikuwa mnalialia humu kila siku, hadi shule za kata mnazilalamikia eti JK kawajengea waislamu wenzake!
Ni agizo lililotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi. Marufuku shirika, taasisi au Idara ya Serikali kuchapisha hizo kadi. Fedha zilizotengwa zitumike kupunguza madeni ya wizara, taasisi na idara. Anayetaka kuchapisha, ametakiwa afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Chanzo: Taarifa ya Ikulu.
Katibu Mkuu Kiongozi , OMBENI SEFUE amepiga marufuku uchapishaji wa kadi za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama za Serikali katika taasisi na idara za serikali.
Kadi hizo zilitumika kutakiana heri ya Krismasi na mwaka mpya kwa viongozi, taasisi na Idara za Serikali. SEFUE amesema atakaeona kuna umuhimu wa kuchapisha kadi hizo, basi achapishe kwa gharama zake mwenyewe.
Katibu Mkuu Kiongozi ameelekeza pesa za serikali zilizotengwa kwa ajili hiyo zitumike kupunguza madeni ambayo taasisi na Idara za serikali zinadaiwa au zifanye kazi nyingine.
Kote sawa ila nimekerwa sana na maneno ya mwisho katika aya ya kwanza ya huo waraka "...kwa mwaka huu"! Kwa nini wasifute moja kwa moja? - ours is a secular country! Hayo ma card yanafaida gani kwa nchi kama watoto wetu hawana madaftari, vitabu na hata madawati. Card moja kuitengeneza sio chini ya shiling 1000. Pesa hii inaweza kununua penseli ngapi? Get rid of all these nonesense expenses for good!