Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Sefue: Marufuku kutengeneza kadi za Christmas/Mwaka Mpya kwa gharama ya Serikali

Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki
Haki ipi unayoizungumzia Chifu?

Kama ni Kadi za Krismas na Mwaka mpya zipo tele madukani...Watu wakanunue kwa hela zao..Sio serikali inaingia gharama kuzitengeneza...

Lengo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na hela zikatumika kwa mambo ya msingi na si udini kama unavyodhani....Mwaka mpya hauna Dini...Serikali haina Dini...

Ungejua gharama zinazolipwa lwa wazabuni kutengeneza hizi kadi usingekuja na malalamiko yako haya...Watu wanapiga hela Chifu...Wanapiga hela nyingi sana kwa kichapisha hizi kadi...
 
Ila matangazo ya kupongezana magazetini ruksaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki

Kwani hizo kadi huwa ni kwa ajiri ya kanisa mkuu?
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100, nasubiri maamuzi mazuri zaidi kwa mwenge.
 
Ingekuwa ni agizo amelitoa JK muislamu, shughuli yake ingekuwa kubwa, Angeitwa mdini na lile kanisa kubwa lingetoa tena Waraka!anyway duniani hakuna haki

Mbona kwenye safari za nje husemi kama mkristu ama muislamu, tatizo lenu watu kama ninyi ndiyo mnafanya watu waichukie dini ya Kiislamu maana kila kukicha tumeonewa tumeonewa kama hakuna kitu kingine zaidi ya dini. Ukiende mbele ya safari ukiambiwa hakuna kitu kama hicho sijui utasemaje japo mimi binafsi naamini hivyo. Huu wepesi wa kuelewa mambo ama kuchukua mambo kivingine ndiyo maana baadhi yetu wanajiua kwa kujilipua wakiaamini wnachoaambiwa elimika karne ya 21 usiwe muislam wa karne ya 7
 
Safi. Angeongezea ni marufuku watendaji kupokea vifurushi au parcel toka makampuni binafsi kama zawadi za Xmass na MMpya .
 
Sasa ajabu zimefutwa na Rais Mkristo.

Ukweli ni kwamba si kadi za Krismas, Mwaka mpya na Heri ya Pasaka pekee zilizokuwa zikitengenezwa...Hata kadi za Iddi na Maulid zimekuwa zikitengenezwa...Na tangazo/katazo hili linalenga sikukuu zote hizi na wameanza tu na Krismas na Mwaka mpya..

Hata Idd na Maulid zinahusika pia...
 
Rais alisema sekta manunuzi ya umma ni mdudu mwingine na sasa naona anazidi kulibinya jipu mpaka kiini kitoke ...Mungu amtangulie.
 
Serikal itarudisha vp pesa walizotumia ktk campaign
 
Back
Top Bottom