Segerea: Wabunge wa CHADEMA Ester Bulaya, Ester Matiko na Halima Mdee waachiwa. Wasema sasa ni saa ya ukombozi Tanzania

Sasa wanataka kuanzisha mikusanyiko ya kupiga kampeini au? Waache shobo waende nyumbani kwao! Jera kuna nyampala! Huku mtaani kuna polisi!
 
Pale hoja zinapomwishia mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe na wenzake ni Viongozi wa CHADEMA,

Mashinji ni Nani kule ccm?

Ina maana hata alipokuwepo Chadema huyo alikuwa wa ccm kwa kazi maalum.
 
Kitendo cha mkurugenzj kujificha chenyewe kimegharimu nini? Oli mlaru.
Kwani hakukuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya hiyo ya kuandamana bila kibali?? Angalia sasa vitendo vyao vimegharimu maisha ya binti asiyekuwa na hatia. Hamlioni hilo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamewablock kivipi mkuu weka taarifa timilifu
 
Akwelina ni matokeo ya makosa yaliyofanywa na hao waliotoka leo.

Wasingeandamana bila kibali, Who knows binti wa watu angekuwa keshamaliza masomo yake anafaidi matunda ya elimu yake.
Tuna safari ndefu sana.Chanzo kikuu cha hao unaosema waliandamana ni nini hasa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…