2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.