Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Sep 3, 2022 #21 Sehemu pekee ambayo akiweka tozo sitamwelewa ni tozo kwenye vikojoleo vya warembo.... Atuache mabaharia tuendelee kufaidi kula tunda kimasihara....
Sehemu pekee ambayo akiweka tozo sitamwelewa ni tozo kwenye vikojoleo vya warembo.... Atuache mabaharia tuendelee kufaidi kula tunda kimasihara....
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Sep 3, 2022 #22 Crocodiletooth said: KITU AMBACHO SIYO CHA KWELI. Click to expand... Ndio kashabwabwaja
2019 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,130 Reaction score 4,735 Sep 3, 2022 Thread starter #23 maneka said: Hata waenda kwa miguu aweke tozo ili tz maisha yawe bora! Click to expand... Kweli kabisa,na masoko yote kuwe na tozo za kuingia na kutoka
maneka said: Hata waenda kwa miguu aweke tozo ili tz maisha yawe bora! Click to expand... Kweli kabisa,na masoko yote kuwe na tozo za kuingia na kutoka