Anaongelea tozo sio Kodi.Hizo ni service muhimu, ambazo tayari zina kodi kama zote
1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.
Huko asiguse kabisa mkuu,wakubwa hawaguswi.Vipi kwenye mishahara, posho na marupurupu manono ya walamba asali?
Vipi huku:
View attachment 2343346
Au haya maeneo hapana kuyagusa?
Au wewe nawe ni mlamba asali, kibaraka au chawa wao?
We chukulia maskhala tu anaweza akafanya kweli 🤫Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi
Itafika wakati chumvi tutauziwa elfu tano pakiti moja1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.
Wewe mchawi ndiye umetuletea taabu zote hizi sio?1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.
Michango ya sherehe, ma mc ( washereheshaji) Matangazo mitandaoni)1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.
Hiyo ni Kodi, bado tozoKwani walizoweka kwenye hizo bidhaa sio kodi
KITU AMBACHO SIYO CHA KWELI.Na ndio anakomaa na hii kuwa wananchi tumemshauri
Namba 2 mbona tayari mkuu!1.Vifurushi vya simu(vocha pia)
2. Vifurushi vya televisheni
3. Usafiri wa daladala
4. Pikipiki
5. Bajaji
6. Mafuta ya kupikia
7. Nafaka zote
8. Soda
9. Sigara
10. Pombe zote
Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana.
My.
Mwigulu hata ukiweka tozo kwenye punzi tutalipia tu, watanzania hatutishwi na chochote ili mradi tuishi.
Ninakubaliana na wewe Mwigulu aweke Tozo za Sigara na Pombe hapo. Zingine asiweke Tozo.1.Vifurushi vya simu(vocha pia)