Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

Sasa unasema bata moja hatari sana haijawahi kutokea katika ulimwengu huu alafu unauliza waliowahi kufanya wenye uzoefu wakwambie sehemu na bei! Mzima kweli wewe mdogo wangu?
 
Ukiona mtu anauliza bei ujue ana pesa za kuunga unga [emoji23][emoji23]
 
Njoo hapa Micasa pub Ubungo Riverside nipo hapa nimechill na mamsaap pia
 
Sasa unasema bata moja hatari sana haijawahi kutokea katika ulimwengu huu alafu unauliza waliowahi kufanya wenye uzoefu wakwambie sehemu na bei! Mzima kweli wewe mdogo wangu?
ndo lengo la kuleta huu uzi napenda kujifunza
 
sawa ntaiangalia pande yenyewe kama kuna viumbe wanaoichafua siend, staki hao wanaka chupi n.k mimi sitaki shida nahitaj maisha ya raha mustarehe bila kero yoyote
Ww jamaa inaonekana maskin jeuri sana......au umebet ndo ukapata izo ela????
 
duu mimi sitaki inzi ikishindikana nataka mjengo wa maana nijimwage peke yangu bila karaha yoyote ya kuzunguka na vinyemelezi. i need free, stable place where i can lay with my girl do some roman and serious love action
Livingstone nzi watoke wapi? Jaribu kugoogle uone palivyo ndio utaelewa nachokisema.
 
sio kila anaetaka kubadilisha kitue ni yeye mimi kuna mtu namuandalia maeneo, sasa inakuuma nini? tulia wewe kwanza kaoge, your vgn smell like decayin fish, kama unashida sema nkusaidie maana naona umeukandia huu uzi sana
Sasa hapa unakosea mkuu. Watu tunachangia thread yako kistaarabu halafu unatukana watu kwa matusi yasiyo na chembe ya ustaarabu?
 
Jangwan Sea Breeze
Ramada Beach Resort
White Sands Hotel
Western Coral Beach Hotel
Sea Cliff Hotel

Ni ww tu Mkuu chagua moja hapo
 
Hi juicy ni kinywaji gani? au unazungumzia juice, huweza ukawa serious kuwa unaenda kula bata huku unakunywa juice kwenye hotel zenye hadhi za five star, kaa huko huko usituletee nzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…