Una mkatisha tamaa au unampa heads up 😁😁😁Mtaachana tu....
Alikuwa kaganda sana?Aslay mihogo mara ya mwisho nimeenda wakanipa samaki amekaa sijui mwaka kwenye fridge.
Sasa huyo manzi unajua k yake imepiga km ngapi mpaka uingie gharama zisizokuwa za lazima?Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
Sasa huo mdebwedo ndo unatuletea uzi hapa?Km 1000.