Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

Habari za jioni.

Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.

Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.

Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).

M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea

Mad Max,
TANDALE KWA TUMBO AU KWA MTOGORE
 
Tunawahesabia siku tyu
 
Salad for days masaki huko good food at affordable price
 
Back
Top Bottom