MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 658
- 2,081
- Thread starter
- #61
Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.Hujasema budget yako mkuu.!
Basi nimeona 100k 😹😹
Kumbe na wewe hauko serious mfyuu.!!
Ila kwa hizo comments za waungwana mbavu zinauma kwa kucheka…. Sema na wewe unawapatia majibu ya kuwapa basi uzi unachekesha balaa.!! 😹😹😹
Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.