Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Itakua poa sana my wife.Tuende kwenye Dunia yetu♥️babe..au unasemaje?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua poa sana my wife.Tuende kwenye Dunia yetu♥️babe..au unasemaje?!
Acha wenye wivu wajinyonge bae♥️😍Itakua poa sana my wife.
Ushaambiwa ujumbe usindikizwe na wimbo wa Seya😁.Mtaachana tu....
Acha wenye wivu wajinyonge bae♥️😍
😆Mtaachana tu....
inategemea mzee chakula ni gharama kubwa tofauti na kitu kingine hasa kwenye hotel labda aende kwa mama lishe ila hotelini laki ndogoTuweni serious wakuu.....
Laki haitoshi kwa dinner?
Na ukizingatia sio pombe wanakunywa! zaidi sana chakula na smoothie au soda Incase
zioo sehemu kibao tuu sema kila mtu atataka uende karambezi, au johari, Serena
Hapo nimeona umesema upo ubungo...... Around hapo Kuna hotel nyingi mpk unafika magomeni za bei nafuu
Ipo moja manzese nilikula kuku na chipsi, karibu na mrina nadhani japo ilikuwa sehemu ya bar, walikuwa affordable
Kikubwa ni dinner iz it...... Jilipue Lamomy
Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
😍Arghhhh my man♥️Na wenye stress wajipake blueband bae, maana ni 🔥
Outing sio kwa ajili ya kwenda kufakamia chakula, hiyo 100,000 sio mbaya itawatosha kubadili mazingira na kuhave fun.Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.
Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.
Hawamalizi mwaka?Mtaachana tu....
Dar HyattHabari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
Havina muda.....Hawamalizi mwaka?