Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ingia website zao ama insta chukua namba wapigie nadhani inakuwa vizuri unaenda ukiwa uko well informed... Good luck ๐Tiffany Diamond ni bei nafuu kumbe.
TANDALE KWA TUMBO AU KWA MTOGOREHabari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
Ooooh Mamaa wiiiivu! Wiiiivu! ๐ถMtaachana tu....
Tunawahesabia siku tyuHabari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
Hujasema budget yako mkuu.!Lamomy nipe sehemu basi, usicheke tuu.
Salad for days masaki huko good food at affordable priceHabari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread isindikizwe na wimbo wa Sea
Mad Max,
Sisi tunawaza ada za shule yeye yupo busy na babyWatu wana stress pesa hawana, mishahara hawajaingiziwa sasa ukiwauliza maswali km haya wanahisi unawakebehi ๐น๐น
Wewe ndiomana wanakujibu kwa makasiriko ๐น๐นBajeti yankutumia hiyo sehemu hiyo including usafiri.