Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
Tatizo anaenda na shemuNenda Mazimbu, kuna totoz kali za SUA, utasuuza mpaka uchoke, hawana gharama kabisa
Ukitaka kuenjoy mbuzi wa kuchoma ni uhuru park kwakweli wana mbuzi wanamchoma anatokea rangi ya gold hatari tupu..lakini sio bar ya kukaa unywe uenjoy..kwanza jiko liko jiran na viti bas joto lote unaliskia wewe!Yaani kuna mtu ametaja mpaka uhuru park[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Morogoro bado sanaaa... yaan ukiambiwa tu hapa ndo center utashangaa..
Licha ya kuwa ndo katikati kabisa ya barabara kubwa zaidi ya kimataida inaunganisha mikoa mingi sana na nchi za jirani ila ni pa hovyo sanaa. Pamezubaa kama penzi la mkamba[emoji23][emoji23]
Pamechoka pale nimekula lunch yao jana tu, sio pazuri kama zamani yaani papo papo afu pamekua pachafu sana
Pachafuu. Chakula chao kitamuuu kweli. Nyama tamu. Ila ndo jaman mtu ataje kama kiwanja kikali? Hapana jamani[emoji23][emoji23]Ukitaka kuenjoy mbuzi wa kuchoma ni uhuru park kwakweli wana mbuzi wanamchoma anatokea rangi ya gold hatari tupu..lakini sio bar ya kukaa unywe uenjoy..kwanza jiko liko jiran na viti bas joto lote unaliskia wewe!
Kwa mbuzi niliwavulia kofia...
Pamezubaa mno ndo maana tunashindaga ndani tu..
Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr!Pachafuu. Chakula chao kitamuuu kweli. Nyama tamu. Ila ndo jaman mtu ataje kama kiwanja kikali? Hapana jamani[emoji23][emoji23]
Na wahudumu wao ndo hao wabibi..
. Loh
Yaan unaona kbs kila mtu anaclassy zake za bata aise..bora uende kule juu forest! Moro bata bado kwakweli!hata hao mademu wanaowasema wengi wako 1st yr nadhan madem wa 1stbyr unawajua mapigo yao..unamuona kbs huyu katoka Malinyi kaja SUA 1st yr!
Mie sikuiti mchumba naona nachelewa😋😋! Nakuita mume kabisa😀😀Mchumbaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni hapo town sema sikumbuki jina mpaka niulize tena
Mtoa mada kama unataka sehemu tulivu na wifi nenda Nguzo camp...kule utaenjoy..wana misosi mizuri sema wanachelewesha msos balaa...vyumba vipo ila sijajua bei...kumetulia balaa...! Bei zao ni reasonable tu!
Ukipenda uliza pia kwa Jamila mzungu! Ni huko juu...mnaweza jikuta mko wawili kwa pool full mahaba
Ohhh...reasonable....nice...najiendeaga huko naanza bembea kbs najitumbukiza kule chin kwa mawe na maji😀Kuna siku nilikatiza huko, bei za rooms ni 30k-90k.
Ulizia rafiki manake na mm naingia Moro natokea Dom sahiviNi hapo town sema sikumbuki jina mpaka niulize tena
Kuna siku nilikatiza huko, bei za rooms ni 30k-90k.
Jamani sasa niogope kusema nililala, kisa?Mkuu sema tu ulilala mbona unazungusha maada
Si unajua sehem ukienda siku moja ila najua ni karibu na stendi ya msavu ni bar kubwaa sehmu ya kunywa na kulaUtakuwa ulipelekwa Dina 😉...
Mi ngoja nijibanze hapa nipate chimbo safi nami niweze mpeleka mtu huko kunakoitwa Morogoro
Huku eeh?Ohhh...reasonable....nice...najiendeaga huko naanza bembea kbs najitumbukiza kule chin kwa mawe na maji[emoji3]
Yaan kuku ana limao tu hakuna maviungoo mengine halaf anachomwa mweee siku nikienda lazima nipite hapo