Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
528
Reaction score
1,241
Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
 
Ukiachana na Haile salasie strip,ambazo kuna Elements,SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc,Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya mUsic ni ileile,Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure,hivo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Elements na Samaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?
 
Elements na Sanaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring
 
Ukiachana na Haile salasie strip,ambazo kuna Elements,SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc,Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya mUsic ni ileile,Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure,hivo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Sina tatizo na muonekano wa hizo sehemu ila kuhusu ma Dj nakuunga mkono, hawana exposure ya music, wanafungulia sauti kubwa, kelele tu, miziki nin ile ile tu ujinga mtupu.
 
Sina tatizo na muonekano wa hizo sehemu ila kuhusu ma Dj nakuunga mkono, hawana exposure ya music, wanafungulia sauti kubwa, kelele tu, miziki nin ile ile tu ujinga mtupu.
Exactly! Hawajui kusoma mazingira na mood. Ikifika usiku maeneo yanakua kimya hivo hata sauti ambayo jioni ilikua kawaida ikifika usiku inakua kubwa na kukera lakini wao hawajiongezi. Ma DJ bongo wana zero exposure,zero emotional awareness na zero taste in wide genre of music.
 
Usijaribu kwenda mahali wabongo wanapasifia sana utaishia kuboreka tu.
Basi mkuu madj wengi ndo wanafeli kazi maana mmiliki wa kiwanja dj anabidi aendane na bajeti yako. Bia serengeti lite buku jero unategemea pesa ya dj mzuri itoke wapi
Kweli budget matters!
 
Exactly, hawajui kusoma mazingira na mood. Ikifika usiku maeneo yanakua kimya hivo hata sauti ambayo jioni ilikua kawaida ikifika usiku inakua kubwa na kukera lakini wao hawajiongezi. Ma DJ bongo wana zero exposure,zero emotional awareness na zero taste in wide genre of music.
Yaani ovyo kabisa,kuna wakati unatupa macho unaona bar imejaa watu wazima tupu kwa muda huo ila Dj kakomaa na nyimbo za bongo flavor badala ya kupiga nyimbo kulingana na umri na hadhi ya wateja kwa muda huo
 
Bro! Bongo Kila kitu tunakariri, hii Showbiz life ya wasanii ipo mpaka huku chini,Kila mtu anafanya kile kile "Trendy" stuffs, no taste just vibes tu. Worse ni kama Kila sekta bongo is subpar hakuna genuinety.
 
Elements na Samaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?
Hii viita naiiiona kwa mbali sana,Kati ya Watoto wa Uswazi na Watoto wa Ushuwani kwenye sehemu za kula Bata, kila muwamba Ngoma huvutia kwake! Sisi wengine tumebaki kuwa watazamaji tu!!!
 
Back
Top Bottom