RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ukijuq mitaa yote hupati shida. Kataja sehemu za kawaida ila kumbe ni based on music taste na quality djsHii viita naiiiona kwa mbali sana,Kati ya Watoto wa Uswazi na Watoto wa Ushuwani kwenye sehemu za kula Bata, kila muwamba Ngoma huvutia kwake! Sisi wengine tumebaki kuwa watazamaji tu!!!