Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
njoo 101 kahama uinjoy djzz...
 
Inategemea ntu na ntu .na mood yako binafsi Mimi siwezi kwenda sehemu yenye watu wengi km bar

NAPENDA hotel Kama vede pale kwa bakhressa
Niliposoma Comment nikasema huyu jamaa anamajigambo kama Wahaya kuja kwenye Id ni mule mule. Nyie ndugu zetu kwa mbwe mbwe hamna mpinzani. Hiyo Verde Hotel yenyewe unaishia kuiona kwa picha🤣
 
Alafu kwenye hiyo list ya juu umesahau kidimbwi mkuu..
Kidimbwi ni amapiano mwanzo mwisho. Atleast kule wana genre nyingi za house music sio amapiano zile zile kama sehemu nyengine
 
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring

Nenda na JBL yako mkuu
 
Back
Top Bottom