Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
💯🤝 wachache watakuelewa
 
Watangazie biashara wenzio huku ukibaki unashangaa wanavyo tengeneza mkwanja.
 
Nilienda sehemu moja Iko beach mitaa ya bahari beach karibu na ledger plaza yaani kuanzia mchana Hadi usiku ni Amapiano tu jioni akapiga mbili tatu za kibongo...watu wanalalamika lakini wahusika awaonyeshi kujali..maana watu Kuna time wanataka nyimbo at least wadance kidogo.
Barra Beach
 
Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.

Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.

Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Kiukwel sehemu zipo chache kila mwenye bar na grocery anaamin kila mtu anapenda kelele na trend music kumbe sivyo.....mazingira pia huwa yanafanana hamna ubunifu wa kuvuta watu....binafsi mda mwingi napenda kuwa sehemu ya mzik tulivu ila nikiwa high niende sehem kama kwetu pazur..smart au tnt maana hapo tunakuwaga kama ng'ombe kwenye josho
 
Imagine Kila sehemu it's same same playlist. Kuanzia bongo flava,afrobeats na mapiano Yao,Ngoma zile zile.
 
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring
MaDj wa bongo miyeyusho sana aisee hivi hata EDM hawazijui ni hadi niende wavuvi camp ndo nazikutaga almost always. Hata kugoogle tu wajue ngoma kali za billboard wakamix kidogo hawajui. Kila sehemu wanapiga nyimbo zinafanana ni bahati sana ukute Dj anajielewa
 
Back
Top Bottom