LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 316
- 609
MaDJ kilio changu huwa ni volume asee nadhani kwa sababu ya hii kazi wanakuwaga kma viziwi hivi, mziki sauti iko juuu sanaaaa hata spika zinalia kma zimechanika. Huwa wanafeli wapi kuweka sauti moderate watu tupige chupa, tutongoze maliasili za nchi yetu.