......huku ukiselebuka na AMAPIANO....Karibu apa kuti kavu pub, tunapata mazaga na kitimoto
Elements na Samaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?Ukiachana na Haile salasie strip,ambazo kuna Elements,SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc,Tips na wavuvi camp.
Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya mUsic ni ileile,Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.
Ila ndio hivo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure,hivo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boringElements na Sanaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?
Sina tatizo na muonekano wa hizo sehemu ila kuhusu ma Dj nakuunga mkono, hawana exposure ya music, wanafungulia sauti kubwa, kelele tu, miziki nin ile ile tu ujinga mtupu.Ukiachana na Haile salasie strip,ambazo kuna Elements,SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc,Tips na wavuvi camp.
Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya mUsic ni ileile,Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.
Ila ndio hivo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure,hivo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Exactly! Hawajui kusoma mazingira na mood. Ikifika usiku maeneo yanakua kimya hivo hata sauti ambayo jioni ilikua kawaida ikifika usiku inakua kubwa na kukera lakini wao hawajiongezi. Ma DJ bongo wana zero exposure,zero emotional awareness na zero taste in wide genre of music.Sina tatizo na muonekano wa hizo sehemu ila kuhusu ma Dj nakuunga mkono, hawana exposure ya music, wanafungulia sauti kubwa, kelele tu, miziki nin ile ile tu ujinga mtupu.
Usijaribu kwenda mahali wabongo wanapasifia sana utaishia kuboreka tu.
Kweli budget matters!Basi mkuu madj wengi ndo wanafeli kazi maana mmiliki wa kiwanja dj anabidi aendane na bajeti yako. Bia serengeti lite buku jero unategemea pesa ya dj mzuri itoke wapi
Yaani ovyo kabisa,kuna wakati unatupa macho unaona bar imejaa watu wazima tupu kwa muda huo ila Dj kakomaa na nyimbo za bongo flavor badala ya kupiga nyimbo kulingana na umri na hadhi ya wateja kwa muda huoExactly, hawajui kusoma mazingira na mood. Ikifika usiku maeneo yanakua kimya hivo hata sauti ambayo jioni ilikua kawaida ikifika usiku inakua kubwa na kukera lakini wao hawajiongezi. Ma DJ bongo wana zero exposure,zero emotional awareness na zero taste in wide genre of music.
Bro! Bongo Kila kitu tunakariri, hii Showbiz life ya wasanii ipo mpaka huku chini,Kila mtu anafanya kile kile "Trendy" stuffs, no taste just vibes tu. Worse ni kama Kila sekta bongo is subpar hakuna genuinety.Yaani ovyo kabisa,kuna wakati unatupa macho unaona bar imejaa watu wazima tupu kwa muda huo ila Dj kakomaa na nyimbo za bongo flavor badala ya kupiga nyimbo kulingana na umri na hadhi ya wateja kwa muda huo
Hii viita naiiiona kwa mbali sana,Kati ya Watoto wa Uswazi na Watoto wa Ushuwani kwenye sehemu za kula Bata, kila muwamba Ngoma huvutia kwake! Sisi wengine tumebaki kuwa watazamaji tu!!!Elements na Samaki samaki kuna nini cha ajabu? Kuna places kibao uswazi nzuri kuliko hizo ulizotaja. Umezuzuliwa na location nini?