Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Hakuna kitu nachukia kama makelele,mtu unajipigia beer yako DJ anafumua mziki utafikiri sijui mko Stadium kwenye concert ya mapipa band, wanaharibu sana starehe za watuSina tatizo na muonekano wa hizo sehemu ila kuhusu ma Dj nakuunga mkono, hawana exposure ya music, wanafungulia sauti kubwa, kelele tu, miziki nin ile ile tu ujinga mtupu.
Safi sana mkuu. MaDJ wengi wa bongo itakua ndo michezo yao kupeana nyimbo na wanakua wamemaliza hawajiongezi. Unaweza zunguka bongo nzima usikute DJ anapiga Afro -house music wakati ni nyimbo tamu mno na lazma ushake ukiskia. Ni mara moja tu nimewahi sikia sehemu pub moja kule Goba wanapiga Afro house music tena napo walikua wamedownload playlist ya Black coffee ambayo naijua aliifanya kwenye concert Tomorrowland Belgium ila nilienjoy na nikawaona wajanja sana ππLet's say mimi ni DJ alafu anakuja DJ mwingine ananiomba External yangu kwenda kufanyia kazi sehemu utegemee atapiga nyimbo gani? Mostly ata search zile anazozijua tu kichwani mwake na zinazopatikana kwenye drive ndo ana load na kupiga.... Au anakuja ku copy mzigo wote kwangu ye hana hata nyimbo zake za tofauti utegemee nyimbo atakazo kua anapiga zina utofauti? Jibu ni uzembe wa DJ mwenyewe kutokua mbunifu na mwenye kujituma na si meneja mimi navyoona mbaya zaidi unakuta meneja nae kijana hajui nyimbo...
Sema mimi siwapagi kabisa hata External yangu hawa vijana ku copy muziki wengi wao wazembe kujituma na nina muziki ambao hata wengine hawana na huwa nikipiga kwa media/radio mpaka meneja ananiuliza "hizo nyimbo siku tegemea kama unazo na huenda ni wewe pekee ndo umewahi piga hizi nyimbo hapa radio toka ma DJ wengine wapite" so imagine meneja anakwambia hivo lazmia uongeze juhudi katika kazi na kua mbunifu zaidi wa kipekee..
Nashukuru Mungu mimi hii ni passion yangu kabisa na nilienda chuo/DJ Academy kuisomea kuongeza maarifa zaidi mbali na kua na taaluma nyingine niliyosomea, so huwa naifanya kwa kuifurahia na napenda muziki hasa wa zamani na napenda ma DJs wa zamani waliotutangulia kwa hii fani...
DJ Peter Moe, DJ JD (John Dilinga), DJ PQ na wengine wachache Hawa jamaa wakongwe toka enzi za kutumia masanturi wanajua nini maana ya kuburudisha mtu au watu wanataka nini kwenye kiwanja cha burudani toka clubs kongwe za enzi hizo wao ndo walianza nazo so wana uzoefu na kazi yenyewe lazima mtu usiwe nao shaka ukiwa kiwanja anapopiga..... Flash Back huwa tamu sana aisee askwambie mtu, zina radha yake.Na vingine kiasi ila kwangu burudani kubwa sehem kama hizo huwa ni DJ mixing/playlist,huwa nikikuta DJ mkali naweza nisichomoke. Kuna siku ilikua week day pale wavuvi camp mida ya jioni tu DJ mkongwe Peter Moe alikua anapiga flash back zilikua tam sana,badae akamuachia dogo mmoja hivi basi yule dogo akaja na code zake za kitaa DJ Peter Moe akamfuata akamnong'eza kitu dogo akarudi kwenye track. Asikwambie mtu DJ Peter Moe anajua sana japo umri umekimbia
Sema sehemu ulizoenda ndio hazina utofauti, utakuwa huijui dar vizuriUkiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.
Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.
Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Sure,DJs wa zamani wanajua sana aisee sio wavivu kuexplore na wanaexposure sanaDJ Peter Moe, DJ JD (John Dilinga), DJ PQ na wengine wachache Hawa jamaa wakongwe toka enzi za kutumia masanturi wanajua nini maana ya kuburudisha mtu au watu wanataka nini kwenye kiwanja cha burudani toka clubs kongwe za enzi hizo wao ndo walianza nazo so wana uzoefu na kazi yenyewe lazima mtu usiwe nao shaka ukiwa kiwanja anapopiga..... Flash Back huwa tamu sana aisee askwambie mtu, zina radha yake.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sio itakua ndo kinachofanyika hata sasa kwani nipo kwenye hii carrier naelewa kinachofanyika, huwa nalaumiwa sana na hawa vijana kwamba mimi mchoyo wakisikia kuna ngoma nazipiga radio na wao hawana basi lazima nikute nimetafutwa kwenye simu " Oya mwana hizo ngoma ulizopiga hapo radioni naomba nije ungei basi mimi sina [emoji23]" hawajui nmezipata kwa tabu au nmenunua exclusive package kwenye online DJ Pool.. Wao wanapenda vya kushare hovyo tu hawapendi kuwekeza pesa ili kupata upekee katika kazi zao...Safi sana mkuu. MaDJ wengi wa bongo itakua ndo michezo yao kupeana nyimbo na wanakua wamemaliza hawajiongezi. Unaweza zunguka bongo nzima usikute DJ anapiga Afro -house music wakati ni nyimbo tamu mno na lazma ushake ukiskia. Ni mara moja tu nimewahi sikia sehemu pub moja kule Goba wanapiga Afro house music tena napo walikua wamedownload playlist ya Black coffee ambayo naijua ila nilienjoy na nikawaona wajanja sana [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] safi sana..
yani nilicheka nikapafurahia sana yani hawana habari wanacheza wana enjoy ilibaki kidogo nikajiunge ila muda ukawa umenitupa mkonoYaah kikubwa upate burudani... it's good kama umeenjoy,mi pia kuna miziki huwezi kuta naiskiliza ila nikiona watu wanacheza naenjoy
Kwenye Ishu ya Music kuna TATIZO kubwa sana.. Kuna sherehe moja nilienda aisee DJ hana content, ikabidi niingilie Show, huwezi amini kila mtu ana SHAZAM nyimbo kila nikiweka CHUMA watu wanahipe! Baadae nikachek hadhira yangu nikaona kuna watu wa 80s - 90s nikashusha THROWBACK jams... Bhanaaa wee mbona na MBUSUSU nilipewa.Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp.
Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy Wala hawana exposure za mood na upana wa muziki.
Ila ndio hivyo consumers wengi wa Tanzania hawana exposure, hivyo ndio maana watu hawapo aware. Wamestuck na subpar music and a whole concept of fun.
Usinikumbushe Machungu ya March 2022 Nilivagaa Mkenge..Kumbukeni kinga gono la tabata sio poa bora hata uvae mfuko wa mkate kama kinga huna
Ndio hapo hapo.... Amapiano mwanzo mwisho ....Mimi Kwa mtizamo wangu Amapiano sio favourite Sana Kwa wengi kama Ma DJs wanavyofanya...it's better ikawa mixing....lakini sio kuanzia mchana Hadi usiku ni Amapiano tu...Barra Beach
Ukienda pale The marz au zamani club regends Kwa John dillinga...aisee Kuna ngoma Kali sana ingawa nyingi za zamani lakini it's hot Sana...ma DJs wa zamani wanajua sanaDJ Peter Moe, DJ JD (John Dilinga), DJ PQ na wengine wachache Hawa jamaa wakongwe toka enzi za kutumia masanturi wanajua nini maana ya kuburudisha mtu au watu wanataka nini kwenye kiwanja cha burudani toka clubs kongwe za enzi hizo wao ndo walianza nazo so wana uzoefu na kazi yenyewe lazima mtu usiwe nao shaka ukiwa kiwanja anapopiga..... Flash Back huwa tamu sana aisee askwambie mtu, zina radha yake.
ππππBar ya mtaani kwetu ππ wapige kelele wakati pale ni njia panda ya segerea
Mdj wetu wanapiga nyimbo wanazopenda wao hamjawastukiaga Tu.Yaani ovyo kabisa,kuna wakati unatupa macho unaona bar imejaa watu wazima tupu kwa muda huo ila Dj kakomaa na nyimbo za bongo flavor badala ya kupiga nyimbo kulingana na umri na hadhi ya wateja kwa muda huo
Halafu aliyewaambia maDj ikifika sasita waanze kupiga amapiano mpaka asubui sijui ni nani?Mdj wetu wanapiga nyimbo wanazopenda wao hamjawastukiaga Tu.
Ndio maana wengine tunamuwelewaga Sana John Dilinga na project zake za oldies.
Nikienda pub za kawaida live band inabonda nyimbo za copy naenjoy kuliko kwenda club Kwa sasa, utalazimishwa kucheza nyimbo za wavuta cocaine wa ulaya wakati hazina mzuka wowote ila watu wanafuata mkumbo wa madj tu.
Ukiwa umefuta tongotongo umetembeatembea kidogo Kwa wenzetu mamtoni kuna mziki unaujuwa kabisa huu ni wa wavuta cocaine tu, mziki siyo reggae siyo Rnb, siyo Pop wala siyo hip-hop, wala siyo country unakufurahisha nini kama siyo kufuata mkumbo tu?
Hayo ndio mambo yamenikata stim kabisa za kwenda disco Tec za Bongo.Halafu aliyewaambia maDj ikifika sasita waanze kupiga amapiano mpaka asubui sijui ni nani?