Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Aisee kweli jamaa kanyooka hana konaIli jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wacheza wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.
Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.
Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.
Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
Ni ushahidi mwingine hakuna mungu anayeingilia au kupangilia maisha ya binadamu. Mambo yanatokea kwa bahati (random chances) tu.Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wacheza wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.
Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.
Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.
Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
Kuna documentary moja hii mada wamejadili sana na jinsi sahihi inaonekana afrika sio afrikaNi ushahidi mwingine hakuna mungu anayeingilia au kupangilia maisha ya binadamu. Mambo yanatokea kwa bahati (random chances) tu.
Lissu angekuwa Iran, wangeshampoteza mapema sana.Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wachezaji wa mpira wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.
Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.
Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.
Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
We kuwepo hapa unafurushi la mavi makalioniHata we kuwepo jf sio sahihi, inatakiwa uwepo kuzimu hukoo
Hoja yako inagusa kitu cha msingi sana: mazingira yanaweza kumzuia mtu au kumfungulia uwezo wake. Lakini si rahisi kusema mtu amezaliwa “sehemu isiyo sahihi” kwa sababu hatujui maisha yake yangekuwaje kama angezaliwa sehemu nyingine. Wakati mwingine mazingira magumu ndiyo humjenga mtu na kumfanya agundue uwezo ambao usingejitokeza kwenye mazingira mepesi.Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi na wakati wewe ni sahihi mfano kama teknolojia zingekuwa zinatokea afrika basi hata haya tunayo tumia duniani yange kosekana.
Kuna watu wanazaliwa sio sehemu sahihi mfano leo wachezaji wa mpira wa kiafrika wameonekana sahihi ulaya.
Kuna watu wamezaliwa na ukiwaangalia tu unasema huyu jamaa sio mtu wa kuishi mazingira yetu ni kwamba sio sahihi alipo zaliwa au mfumo wake sio wa hayo.
Mfano tundu lissu kwa mtazamo wa sahihi ni kwamba hapa tanzania sio sahihi kuzaliwa hapa alitakiwa kuwa kama USA,IRAN na kwengine ambako anaweza kuipigania nchi kisheria.
Ili jambo sahihi lina umiza sana dunia yetu.
Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.Hoja yako inagusa kitu cha msingi sana: mazingira yanaweza kumzuia mtu au kumfungulia uwezo wake. Lakini si rahisi kusema mtu amezaliwa “sehemu isiyo sahihi” kwa sababu hatujui maisha yake yangekuwaje kama angezaliwa sehemu nyingine. Wakati mwingine mazingira magumu ndiyo humjenga mtu na kumfanya agundue uwezo ambao usingejitokeza kwenye mazingira mepesi.
Kwa hiyo, badala ya kuuliza “nilizaliwa sehemu sahihi au si sahihi?”, labda swali kubwa zaidi ni: nifanye nini na mazingira niliyopewa ili uwezo wangu usipotee? Hapo ndipo uchaguzi, juhudi na mazingira vinapokutana.
Elon musk yupo wapi ?.Na alitoka wapi ?.Sehemu sahihi na isiyo umetambuaje....?
Ungejibu kwanza....Elon musk yupo wapi ?.Na alitoka wapi ?.
Ungemuuliza yule wa NALA kwanza mbona unapaniki kama mchawiUngejibu kwanza....
Sawa....Ungemuuliza yule wa NALA kwanza mbona unapaniki kama mchawi
Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.Sehemu sahihi na isiyo umetambuaje....?
Hahahaaaaa shetani hata ukimkuta kanisan usidhani ameokokaKaka wa shetani anamzungumzia tena Mungu....basi sawa
Hili nalo hua sio jambo zuri sana,ukijiona akili kubwa ila umezungukwa na watu wenye akili ndogo,basi tambua kua haupo sehemu sahihi.Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.