Sehemu sahihi na sio sahihi kwa wanadamu waliopo duniani ?.Je ni makusudi ya mungu.

Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.

Hivi unajua ukiwa genius ukapelekwa USA ni rahisi kufanya jambo kubwa.

Na ukiwa genius ukazaliwa afrika ukaisha kuwa muddy fiziki mchikichini RIP.
Naunga mkono hii hoja,

Thamani ya kitu huonekana pale unapokua sehemu sahihi,
Mazingira yanaamua thamani yako.
 
Kuwa na akili kubwa katikati ya watu wengi(majority) wenye akili ndogo.
sasa kama wote wakiwa na akili kubwa mambo yataendaje..... kila mtu atataka yeye ndio awe na akili zaidi kuliko wenzake hakuna maelewano tena...
 
Unaweza kukataa ni ukweli ambao unaweka fact zake zinaonekana.

Hivi unajua ukiwa genius ukapelekwa USA ni rahisi kufanya jambo kubwa.

Na ukiwa genius ukazaliwa afrika ukaisha kuwa muddy fiziki mchikichini RIP.
Ukweli ni kwamba mazingira yana nafasi kubwa sana kwenye kufungua au kufunga fursa za mtu. Kipaji bila mazingira yanayokikuza kinaweza kupotea, lakini hata Afrika kuna watu wamevuka mazingira yao na kufanya makubwa. Tatizo si bara pekee, ni mfumo wa fursa, elimu, mitaji na mazingira ya kukuza vipaji.
 
Naunga mkono hii hoja,

Thamani ya kitu huonekana pale unapokua sehemu sahihi,
Mazingira yanaamua thamani yako.
Kabisa. Kipaji kinaweza kuwa kikubwa, lakini mazingira ndiyo yanayoweza kukipa nafasi ya kuonekana na kukua. Wakati mwingine si kwamba mtu hana uwezo, bali yupo sehemu ambayo uwezo wake hautambuliki.
 
Even the real bible is from Africa, but why Africa is the last continent in every thing some where we go against GoDs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…