Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #101
Mama zenu tunawapenda jamani, hasa watoto wetu wa kiume.Ukweli mchungu huu, Kuhusu kuto mwambia Maza hata mimi nakaaga kimya.
Maana ana weza Anza kuwaza au kuni uliza maswali like ime kuwaje kila saa.
Hata niki umwa huwa namwambia mie mzima, Kuna kipindi nili pelekwa hospital kwa lazima coz ali ona namdanganya.
Tunajua dunia itakavyowakaanga huko nje ndiyo maana hatuishi hofu.