The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Nilipataga msala kwenye ajira yangu ya awali nikamwambia aliekua mama watoto wangu bwana,si akaenda kuwambia mama yake,weekend nastukia ugeni home.Hakika,mi nimejifunza kama jambo ni Siri hata mama simwambii....hakuna Siri ya watu wawili hakika