Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

Mama zenu tunawapenda jamani, hasa watoto wetu wa kiume.
Tunajua dunia itakavyowakaanga huko nje ndiyo maana hatuishi hofu.
 
NAijua hiyooo ila I Soo proudly na huu Uzi ngoja wazee wa kuluka viunzi waje
 
Kiukweli hatuna pa kusemea ndo maana tunajifia tu.Kidogo kwa wazazi wetu ambao wengi hawapo Duniani.
Tusaidiwe jamani,kama mimi ninaomba msaada.
 
Daah kweli mambo ni magumu sana kwenu.
Ila wanaume kutopata faraja ya kihisia hua nayo inawanyong'onyeza sana. Hilo swala la rafiki wa kumuamini umeliweka vizuri sana!

Binafsi, afueni ya mambo ya kimawazo na kihisia huwa napata pia kwa marafiki na siblings wangu, ambapo huwa tunaongea kwa uwazi na kushare mambo magumu na changamoto mbalimbali.
 
wanataka tumwage siri za kambi watuchape vizuri mwanzo wa mwezi kabisa [emoji3]
whetaver happen don't open up to a woman unless she is your mother or sister. That's like giving her ammo for the next fight, trust me she will use your vulnerability as a weapon to punish you later on
 
Ni kweli. Kuna mentality kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu kwa hiyo akiwa katika udhaifu ni rahisi kupata support na kujaliwa...

Tatizo kwetu ni ngumu. Kila mtu anategemea uwe strong au uthaminike pale unapotoa kitu. Ila ukiwa vurnalable inakushusha thamani ndio maana wengi ni kheri asiseme lolote kuliko kusema kwa watu wasio sahihi.

Ila kwa watu wengi huwa naona wanaongea na mama zao. Labda unaweza watengenezea watoto au ndugu zako wa kiume ile safe space ya kutowahukumu ama kuwavujishia siri zao kwa sababu ni rahisi kuwa vulnerable kwa mtu unaemuamini 🙏🏽🙏🏽
 
whetaver happen don't open up to a woman unless she is your mother or sister. That's like giving her ammo for the next fight, trust me she will use your vulnerability as a weapon to punish you later on
Vulnerability isn't a flex kwa kweli.. Better usiitoe kuliko kuitoa kwa watu wrong
 
Vipi kuhusu msongo wa mambo unaotokana na biashara au kazi au wale wengine wa kuliwa hela na LBL au betting 😂
Hiyo ni kawaida tu unapiga meditation na mazoezi ya yoga mambo ya msongo utakua unayangaa tu inakuaje.
 
Mtu wa kuongea naye,na kunishauri
Una chaguo awe mwanaume au mwanamke, au taaluma / ujuzi wa aina flani au umri?
Or unahitaji mtu yoyote tu wa kukusikiliza, ili tuone kama kuna watu watajitolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…