Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

Sehemu pekee salama ya mwanaume ni moyoni mwake mwenyewe kwa kifupi dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume.

Ndio maana mwanaume inabidi utulize kichwa sana,kwenye kuchagua mke wa kuoa inatakiwa maamuzi uyafanye kwa kutumia akili na si tamaa za mwili.

Sometimes hata hawa unao waona wanakesha bar na kuwa watu mitungi sometimes msiwalaumu sana.

Ila dada yangu sikushangai sio wewe peke yako mwenye hofu, nilishatizama clip moja ya mwanaharakati/mfeminist US, alianza kubadilisha mitizamo alivyopata mjukuu wa kiume na aliona gap kubwa sana kati ya nafasi anayopewa mtoto wa kike na kiume na hata mbele wanaharakati wengi wanao push haki za wanaume ni wanawake kwani kuna vitu wameviona vinamkandamiza mwanaume baada ya kupata watoto wa kiume.
 
Solution ni moja tu kufunga na kuomba😬😬😬
 
Kufa kipamoja kupoje na kuna faida gani kwa mtu anaekufa wakwetu?πŸ˜‚
Daaahhhh yani unamaanisha kufa ni kufa tu, haijalishi uwe umezungukwa na wakupendao au umetelekezwa alone πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wakati vuguvugu la usawa wa kijinsia limeanza kupamba moto hapa duniani kuna kitu kimoja cha muhimu sana watu hawakukifikiria.

Hakuna aliewaza kwamba ili usawa uwe practicable basi lazima huo usawa uje na wajibu sawa pamoja na mwanamke kuondolewa privilege zote anazipata kwa kuonekana yeye ni kiumbe dhaifu.

Matokeo yake ndio tunaanza kuyaona sasa, tumempa mwanamke nafasi ya mwanaume halafu mwanamke uyo uyo hatumjuhishi kwenye majukumu ya mwanaume.

Mwanaume huyu ambae amepokonywa nafasi yake tunamtaka aendelee kutimiza wajibu wake wa provider na protector kwa mwanamke ambae ndie amepewa ile nafasi aliopokonywa mwanaume, hapa lazima balance itakosekana

We can't have a feminist society without disrupting social well being and abolishing the familiy institute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…