joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sehemu pekee salama ya mwanaume ni moyoni mwake mwenyewe kwa kifupi dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume.
Ndio maana mwanaume inabidi utulize kichwa sana,kwenye kuchagua mke wa kuoa inatakiwa maamuzi uyafanye kwa kutumia akili na si tamaa za mwili.
Sometimes hata hawa unao waona wanakesha bar na kuwa watu mitungi sometimes msiwalaumu sana.
Ila dada yangu sikushangai sio wewe peke yako mwenye hofu, nilishatizama clip moja ya mwanaharakati/mfeminist US, alianza kubadilisha mitizamo alivyopata mjukuu wa kiume na aliona gap kubwa sana kati ya nafasi anayopewa mtoto wa kike na kiume na hata mbele wanaharakati wengi wanao push haki za wanaume ni wanawake kwani kuna vitu wameviona vinamkandamiza mwanaume baada ya kupata watoto wa kiume.