KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Acha unyanyapaa wa kidini.
 
Kabla ya kuropoka ni vyema ukafahamu duniani kuna watu bilioni 8, watu bilioni 4 ndio Wakristo na Waislamu. Jiulize hao bilioni 4 wengine wako
Kama mtu maisha yake yote anaishi Kamagombe,Kagera na hataki kutoka ndani ya boksi,unategemea kitu gani kutoka kwake?
 
Acha unyanyapaa wa kidini.
Mkuu sio unyanyapaa, tukitaka kuweka usawa kwenye kila jambo mwisho wa siku tutashindwa, umeshajiuliza kuhusu madhehebu nako itakuwaje?! Maana kila dhehebu sidhani kama litakubali kusali na dhehebu jingine kutokana na utofauti kwenye sala zao.
 
Umejipa mamlaka yasiyo yako.Ukielezwa ukweli umung'unye kwanza kabla ya kujishukushuku tuJitafakari.
Tumia akili ya kawaida tu, mkristo ibada yake ni masaa huyu muislamu dakika 5 tu ikizidi sasa utaenda Airport kabla ya masaa 6 au? acha ubishi kuwa logic
 
Hapa hajatatwa mwamposa , usitoke kwenye mada, hapa ni mtume vs yesu

Una sahau kwamba mohammad alirogwa tena na vichawi koko,hiyo inaonesha jinsi alivyo kuwa mweupe kiiman, si bora hiyo aliye jaribiwa na shetani lakini bado aliyashinda majaribu
Labda huelewi kuwa kuna porojo na ukweli. Mimi naamini Mtume Muhammad alikuwa binaadam kama Binadam wengine. alichozidi yeye ni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na chpochote kilichomtokea ni funzo kwetu na gtiba aliyoiata ni funzo kwetiu sote.


Cha ajbu ni Yesu ambae wengi mnaamini mungu wenu, kukumbwa na shetani kwa siku 40, sasa mungu akumbwe na shetani, kuna uungu hapo?

Fikiri kijana, mamboi ya imani siyo ushindani wa simba na Yanga, kuna imani ya kweli na kuna imani za uomnngo, haiwezekani zote zikawa za kweli.U we unafahamu kuengua chuya kwenye mchele.
 
Fikiri kijana, mamboi ya imani siyo ushindani wa simba na Yanga, kuna imani ya kweli na kuna imani za uomnngo, haiwezekani zote zikawa za kweli.U we unafahamu kuengua chuya kwenye mchele.
Vipi ni vigezo vya imani ya kweli?
 
Zilizopo airport ni prayer rooms, hajakatazwa yeyote kuingia kusali kwa imani yake. Utaratibu unaweza kufanywa mida ambayo Waislamu hawasali wanaweza kuingia Wakiristu humo wakasali and vice versa.

Mbona Wayahudi huwa wanaingia ktk prayer rooms ambazo waislamu pia husali ktk airports mbalimbali duniani, kwa nini Wakiristu wanataka rooms zao wenyewe?

The reason unadhani zile rooms ni misikiti ni kwa sababu waislamu ndiyo wako serious zaidi na prayers zao na ni frequent zaidi kuliko dini nyingine, ndiyo maana unawaona all the time ktk rooms hizo!
 
Tumia akili ya kawaida tu, mkristo ibada yake ni masaa huyu muislamu dakika 5 tu ikizidi sasa utaenda Airport kabla ya masaa 6 au? acha ubishi kuwa logic
Ndicho ambacho haukijui.Jielimishe na siyo kung'ang'ania uongouongo huo.Ukipenda watafute wajuvi wakutafsirie kati ya sala,maombi na misa.Halafu,uombe wakueleze vinafana sehemu ipi?
 
Umeielewa hiyo aya na content yake au unaleta porojo
 
Nimeipenda hii
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…