KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kazi kweli kweli, maana Wahindu wanavyoabudia vingine vinatisha ukiachana na ng'ombe na nyoka, hivi na Wabudha nao wakitaka wawekewe sehemu yao ya kuabudia pia itakuwaje? Kiufupi ni kwamba wanaofanya ibada mara nyingi kwa siku ni Waislam, hao wengine wanao uwezo wa kwenda kufanya ibada wanakokwenda uwanja wa ndege wanakaa muda mfupi tu katika siku.
Acha unyanyapaa wa kidini.
 
Kabla ya kuropoka ni vyema ukafahamu duniani kuna watu bilioni 8, watu bilioni 4 ndio Wakristo na Waislamu. Jiulize hao bilioni 4 wengine wako
Kama mtu maisha yake yote anaishi Kamagombe,Kagera na hataki kutoka ndani ya boksi,unategemea kitu gani kutoka kwake?
 
Acha unyanyapaa wa kidini.
Mkuu sio unyanyapaa, tukitaka kuweka usawa kwenye kila jambo mwisho wa siku tutashindwa, umeshajiuliza kuhusu madhehebu nako itakuwaje?! Maana kila dhehebu sidhani kama litakubali kusali na dhehebu jingine kutokana na utofauti kwenye sala zao.
 
Umejipa mamlaka yasiyo yako.Ukielezwa ukweli umung'unye kwanza kabla ya kujishukushuku tuJitafakari.
Tumia akili ya kawaida tu, mkristo ibada yake ni masaa huyu muislamu dakika 5 tu ikizidi sasa utaenda Airport kabla ya masaa 6 au? acha ubishi kuwa logic
 
Hapa hajatatwa mwamposa , usitoke kwenye mada, hapa ni mtume vs yesu

Una sahau kwamba mohammad alirogwa tena na vichawi koko,hiyo inaonesha jinsi alivyo kuwa mweupe kiiman, si bora hiyo aliye jaribiwa na shetani lakini bado aliyashinda majaribu
Labda huelewi kuwa kuna porojo na ukweli. Mimi naamini Mtume Muhammad alikuwa binaadam kama Binadam wengine. alichozidi yeye ni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na chpochote kilichomtokea ni funzo kwetu na gtiba aliyoiata ni funzo kwetiu sote.


Cha ajbu ni Yesu ambae wengi mnaamini mungu wenu, kukumbwa na shetani kwa siku 40, sasa mungu akumbwe na shetani, kuna uungu hapo?

Fikiri kijana, mamboi ya imani siyo ushindani wa simba na Yanga, kuna imani ya kweli na kuna imani za uomnngo, haiwezekani zote zikawa za kweli.U we unafahamu kuengua chuya kwenye mchele.
 
Fikiri kijana, mamboi ya imani siyo ushindani wa simba na Yanga, kuna imani ya kweli na kuna imani za uomnngo, haiwezekani zote zikawa za kweli.U we unafahamu kuengua chuya kwenye mchele.
Vipi ni vigezo vya imani ya kweli?
 
Zilizopo airport ni prayer rooms, hajakatazwa yeyote kuingia kusali kwa imani yake. Utaratibu unaweza kufanywa mida ambayo Waislamu hawasali wanaweza kuingia Wakiristu humo wakasali and vice versa.

Mbona Wayahudi huwa wanaingia ktk prayer rooms ambazo waislamu pia husali ktk airports mbalimbali duniani, kwa nini Wakiristu wanataka rooms zao wenyewe?

The reason unadhani zile rooms ni misikiti ni kwa sababu waislamu ndiyo wako serious zaidi na prayers zao na ni frequent zaidi kuliko dini nyingine, ndiyo maana unawaona all the time ktk rooms hizo!
 
Tumia akili ya kawaida tu, mkristo ibada yake ni masaa huyu muislamu dakika 5 tu ikizidi sasa utaenda Airport kabla ya masaa 6 au? acha ubishi kuwa logic
Ndicho ambacho haukijui.Jielimishe na siyo kung'ang'ania uongouongo huo.Ukipenda watafute wajuvi wakutafsirie kati ya sala,maombi na misa.Halafu,uombe wakueleze vinafana sehemu ipi?
 
Huyu alie letewa haya ya Kuoa mke wa mtoto wake ni msafii eee
وَأَنْعَمْتَ عَلَيْهِ أَمْسِكْ عَلَيْكَ زَوْجَكَ وَٱتَّقِ ٱللَّهَ وَتُخْفِى فِى نَفْسِكَ مَا ٱللَّهُ مُبْدِيهِ وَتَخْشَى ٱلنَّاسَ وَٱللَّهُ أَحَقُّ أَن تَخْشَىٰهُ ۖ فَلَمَّا قَضَىٰ زَيْدٌۭ مِّنْهَا وَطَرًۭا زَوَّجْنَـٰكَهَا لِكَىْ لَا يَكُونَ عَلَى ٱلْمُؤْمِنِينَ حَرَجٌۭ فِىٓ أَزْوَٰجِ أَدْعِيَآئِهِمْ إِذَا قَضَوْا۟ مِنْهُنَّ وَطَرًۭا ۚ وَكَانَ أَمْرُ ٱللَّهِ مَفْعُولًۭا ٣٧
And [remember, O Muḥammad], when you said to the one on whom Allāh bestowed favor and you bestowed favor,1 "Keep your wife and fear Allāh," while you concealed within yourself that which Allāh is to disclose.2 And you feared the people,3while Allāh has more right that you fear Him.4 So when Zayd had no longer any need for her, We married her to you in order that there not be upon the believers any discomfort [i.e., guilt] concerning the wives of their claimed [i.e., adopted] sons when they no longer have need of them. And ever is the command [i.e., decree] of Allāh accomplished.
Umeielewa hiyo aya na content yake au unaleta porojo
 
Zilizopo airport ni prayer room, hajakatazwa yeyote kuingia kusali kwa imani yake. Utaratibu unaweza kufanywa mida ambayo Waislamu hawasali wanaweza kuingia Wakiristu humo wakasali and vice versa.

Mbona Wayahudi huwa wanaingia ktk prayer rooms ambazo waislamu pia husali ktk airports mbalimbali duniani, kwa nini Wakiristu wanataka rooms zao wenyewe?

The reason unadhani zile rooms ni misikiti ni kwa sababu waislamu ndiyo wako serious zaidi na prayers zao na ni frequent zaidi kuliko dini nyingine, ndiyo maana unawaona all the time ktk rooms hizo!
Nimeipenda hii
 
Nadhani dunia nzima inajulikana kama waislamu ni lazima kusali sala tano kila siku tofauti na dini nyingine
Na vile vile sala ya waislamu ni lazima kusujudu kwa hiyo inahitaji nafasi na chumba maalumu, siyo tu terminal 3, ukienda airport nyingi duniani hata hapo jkia ambapo wakristo ni 90% lakini wameweka special prayer rooms for muslims, tuache nongwa siyo kila kitu unataka mashindano
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom