antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Maana yake ni kuwa kama inaonekana itakuwa fujo, basi kusiwe na majengo ya kuabudia ya dini yoyote airport ili kuondoa upendeleo kwa dini fulani (ya mtawala)Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Ukishaweka kitu kwa dini moja, itakubidi uweke kwa dini zote.Mahitaji maalumu, waislam huswali mara tano kwa siku
a.k.a ugaidi.Hakuna dini nyingine, dini ni moja tu, Uislam.
Kwa nini mnavyoangalia dini Tanzania mnaishia kwenye Uislamu na Ukristo tu?Tatizo ukristu una madhehebu mengi, kila dhehebu litadai, airport patajaa makanisa mengi.
Wajumamosi ni nukta tu ata gwajima ana wafuasi wengi kuliko hao.Na sio wakristo by the way.Tuongee ukweli tu,wakitenga sehemu ya wakristo kusali,watasali wakati wao ni jumapili au jumamosi?
Hiyo kwa ajili ya ubishi,lakini kihalisia waislam wanahitaji pahala pa ibada,ibada yao ni hardly dk kumi,na chumba hicho hata myahudi anaweza fanyia ibada,mbona polisi hulinda mikesha ya krismass pasaka lakini hawalindi maulidi na swala ya idd!?..Ukishaweka kitu kwa dini moja, itakubidi uweke kwa dini zote.
Otherwise kutakuwa na tatizo la fairness.
Na dini zipo maelfu, huwezi kuweka accommodation kwa zote fairly.
Solution, serikali ijitoe kwenye habari hizi, madhehebu ya dini yapewe nafasi kujenga nyumba za ibada nje kidogo tu ya airport.
Hapo kila dhehebu litakuwa na nafasi sawa ya kujenga nyumba yake nmya ibada na serikali haitaingia katika tatizo la kuamua nani awe na nyumba ya ibada na matatizo yote ya fairness.
Hakuna ulazima wa kusali ndani ya airport.
Siyo kweli.Ukijenga kanisa utatakiwa uajiri na viongozi wa ibada, ila waislamu yeyote anaweza kua imamu inategemea mmekutana wangapi msikitini.
Huu utatuzi ni simple and clear.Maana yake ni kuwa kama inaonekana itakuwa fujo, basi kusiwe na majengo ya kuabudia ya dini yoyote airport ili kuondoa upendeleo kwa dini fulani (ya mtawala)
Mkuu mbona duniani kuna sehemu za sala ndani ya airport?Ukishaweka kitu kwa dini moja, itakubidi uweke kwa dini zote.
Otherwise kutakuwa na tatizo la fairness.
Na dini zipo maelfu, huwezi kuweka accommodation kwa zote fairly.
Solution, serikali ijitoe kwenye habari hizi, madhehebu ya dini yapewe nafasi kujenga nyumba za ibada nje kidogo tu ya airport.
Hapo kila dhehebu litakuwa na nafasi sawa ya kujenga nyumba yake nmya ibada na serikali haitaingia katika tatizo la kuamua nani awe na nyumba ya ibada na matatizo yote ya fairness.
Hakuna ulazima wa kusali ndani ya airport.
Waislam kwenye Kuswali wote huswali sawa tu, hakuna utofauti wowote ule. Maneno yale yale, Dua ni zile zile, Idadi ya Raqa ni zilezile, idadi ya swala ni zile zile. Hakuna utofauti wowote, na msikiti wowote unaingia unaswali.1-Kwa nini huwa mnatofautiana kufunga Ramadan na kusherehekea sikukuu zenu?Hampo tofauti kimitazamo ie Sunni,Shia,Ismailiya nk?
2-Pak ametoa wazo.Sehemu za ibada kujengwa kwenye taasisi za umma unaona ni sahihi?Hazileti hisia hasi miongoni mwao?Kwa nini serikali ijinasibishe na upande mmoja tu wa imani?Wabuddha?Wabahai?Wakristo?Tao?Jews?Satanic?
Hizi ni juhudi za watawala kutaka kuleta chokochoko za Udini.Hiyo kwa ajili ya ubishi,lakini kihalisia waislam wanahitaji pahala pa ibada,ibada yao ni hardly dk kumi,na chumba hicho hata myahudi anaweza fanyia ibada,mbona polisi hulinda mikesha ya krismass pasaka lakini hawalindi maulidi na swala ya idd!?..
Kwa nini wajengewe? Kwa nini kila dini/dhehebu lisijenge lenyewe nyumba ya kuabudu, kwa gharama zake, kwa utamaduni wake, bila kuiingiza serikali katika mchakato huo?Kama huna dini mambo ya kuabudu hayakuhusu. Labda ungesema wenye dini za jadi nao wajengewe pango la kuabudia
Sawa sawa mwanetu Cc ephen_Kama huna dini mambo ya kuabudu hayakuhusu. Labda ungesema wenye dini za jadi nao wajengewe pango la kuabudia
Cha ajabu hauishi Saudi Arabia 😅 😅Hakuna dini nyingine, dini ni moja tu, Uislam.
Kazi ya serikali ni kuhudumia watu,watu wanna mahitaji tofauti,ikiwezekana sikukuu za kidini kusiwe na mapumziko,na mapumziko yawe jumatano na alhamisi,pasiwe kabisa na mafungamano ya serikali na diniKwa nini wajengewe? Kwa nini kila dini/dhehebu lisijenge lenyewe nyumba ya kuabudu, kwa gharama zake, kwa utamaduni wake, bila kuiingiza serikali katika mchakato huo?
Ukishaiingiza serikali tu, umeiingiza katika migogoro ya kidini.