Umeongelea kitu ninachotamani halafu unataka kunipangia kitu ninachotamani tena?Suala siyo kutowepo dunia ya uchinjaji,suala ni imani moja kupewa jukumu la kuchinja kitoweo cha wote ambako linafanana na la imani moja kuwa na prayer room airport
Hizo njia za shuttle si zitajengwa na serikali!!..sisi wapagani tutajisikiaje hazina kujenga njia za shuttle Ili waumini wakafanye ibada!?
Mpagani ni mtu asiyeamini juu ya supernatural being,na hapo itajengwa njia ya shuttle Ili waamini waende kwenye ibada zao,imetumika FEDHA hazani ambayo ni ya mpagani pia kujengea waamini barabaraMpagani ni nani?
Hata wapagani wataruhusiwa kujenga wanavyotaka, hata kama ni kibrary tu, wasipojenga watakuwa wameshapewa fair access.
Kwanza kabisa mpagani anaweza kuamini supernatural beings.Mpagani ni mtu asiyeamini juu ya supernatural being,na hapo itajengwa njia ya shuttle Ili waamini waende kwenye ibada zao,imetumika FEDHA hazani ambayo ni ya mpagani pia kujengea waamini barabara
Labda chooniNa sie tusio na dini tuabudu wapi ? Cc ephen_
Unajua ninachomaanisha kama 'mswahili' nisemapo mpagani, mengine ni kuzunguka tu na kuendeleza mdahaloKwanza kabisa mpagani anaweza kuamini supernatural beings.
Mpaka hapo umekosea na unahitaji kujifunza zaidi.
Hapana,Unajua ninachomaanisha kama 'mswahili' nisemapo mpagani, mengine ni kuzunguka tu na kuendeleza mdahalo
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Sawa mwanetu choo unacho Cc ephen_Labda chooni
Ok fineHapana,
Neno pagani lina maana yake maalum katika Kiingereza na Kiswahili.
Wapagani ni neno lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, wakizibagua dini nyingine ambazo nibtofauti na dini zikizotokana na Uebrania (Ukristo, Uislamu, Uyahudi).
Kwa hiyo, kwa mfano, dini za asili za ikiyo Tanzania, ambazo zina amani nyingi sana za supernatural, mqmbo ya matambiko, uchawi, uganga wa kuagua, zote hizo zinaitwa upagani.
Sasa hapo, kwa mtu anayejua upagani, utasemaje upagani hauna supernatural belief?
Ukisema upagani hauna supernatural beliefs, unanionesha hujui upagani ni nini.
You don't know what you are talking about.
Airport unaenda kuabudu au kusafiri?! Ujinga mtaacha lini?1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
We nae waache Waislam.. wakristo Ibada hadi Jumapili tena Ibada ya masaa 2+ kwann uwahi aiport kusali masaa mawili..1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Kwani Shia na Sunni na Ahamadya wanaswali msikiti mmoja? Hata hao Sunni wako na tofauti.Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Takbir ajuza wa JF.Hakuna dini nyingine, dini ni moja tu, Uislam.
Tulia mrembo.......unataka kuongea utumboHakuna dini nyingine, dini ni moja tu, Uislam.