KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ila tukiwa wakweli ni waislamu peke yake wanasali mara tano kwa siku,sasa tusitake baadhi ya mambo yawe sawa kwakuwa tu waislamu wanatengewa sehemu ya ibada basi ikawa shida

Lau kama wasio waislamu wangekuwa nao wanaswali swala tano hapo hakika ingekuwa sio haki

Hata injinia alipomjibu Makonda alimwambia duniani kote waislamu ndio hutengewa sehemu za ibada,ila Makonda alijibu kisiasa tu kuwafurahisha watu angali ukwel anujua kuwa wakristo hawana hizo ibada
 
Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria.

Na sio hisani au kuendelea upande mmoja.

Terminal 3 wamejitahid Ila wameshaau dini nyingine, kwanini?
Wacha kuiga Waislamu wanaoswali mara 5 kutwa lakini bado wanaua watu. Sisi Wakristu tuendelee kusali mara moja kwa wiki na kuwatendea binadamu mambo mema. Inatosha
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Kwani huwa mnasali mara ngapi kwa siku?
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Sheli za mafuta mumeona ziwaki moto sasa. Mnataka na mafuta ya ndege mkaweke nyumba za ibada
 
Back
Top Bottom