FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kasali msikitini, si unasalin ujuwavyo tu? Kwani uliambiwa msikiti upo kwa ajili ya nani kama siyo watu kwenda kusali?1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.