PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Serikali inakemea watu lijapo swala la udini wakati yenyewe ndiyo inayolea udini kwa kutenga na kujenga maeneo ya ibada kwenye public places.1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Ilipaswa kama wanazisaidia hizo dini basi izichangie huko kwenye maeneo ya hizi dini badala ya kuziingiza kwenye mifumo ya umma. Inajua madhara ya kujenga maeneo ya ibada kwenye maeneo ya umma? Inajua dini zikishayaweka wakfu maeneo hayo hapo hakuja hisani wa hiyari bali yataendeshwa kwa mujubu wa sheria na taratibu za dini husika?
Katika karne hii serikali inakumbayia mambo ya kioumbavu kabisa halafu ndiyo watu watarajie nchi kuja kusonga mbele?