KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nadhani acha ubishi mahitaji ya dini hizi ni tofauti kabisa sasa usilazimishe jambo ya kafanana. Mkristo hata akikosa misa haambiwi kwa imani kama katenda dhambi waislamu unaambiwa usikose swala na sio kukosa swala kwa muda wake ufanye ibada. Tusitake kila kitu kifanane kama ushindani wa Simba na Yanga.
Uliwahi kua mkristo?Nani anakupa mamlaka ya kuona wengine wana mahitaji makubwa kuliko wengine?Au kwa sababu huwa wananyamaza tu?Ligi itoke wapi wakati mnatolewa tongotongo?
 
Utaachwa na ndege ndugu yangu! Kuna misa ya dakika 5 kwani?
Umewahi kwenda makanisa ya RC kwenye zile sala za asubuhi siku za kati za juma na saa sita mchana?Acha kupotosha.Tutaandika na mengine mchukie.Tofautisha kati ya sala na maadhimisho ya misa.
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Ukitaka kuabudu kaabudie nyumbani kwako, msituletee ujinga.

Taifa lolote likiendekeza sana watu wa dini mnakuwa kama wote ni wapumbavu. Ndio maana Kagame anafunga makanisa.

Kuna watu wao wanachotaka ni dini tu na kuabudu, watataka hadi kwny treni watengenezewe misikiti na makanisa.

Mkiwachekea hao watu mnavuna mabua!
 
Uliwahi kua mkristo?Nani anakupa mamlaka ya kuona wengine wana mahitaji makubwa kuliko wengine?Au kwa sababu huwa wananyamaza tu?Ligi itoke wapi wakati mnatolewa tongotongo?
Katika huo ukatoliki mtu akiacha hizo sala anapata dhambi? Nijibu kwa mujibu wa ukatoliki.
 
Kama kuna hadi slogan ..."Sala na kazi"...wewe kwa tafsiri yako unadhani ni kitu kidogo kwao?Si hivyo tu.Sheria mojawapo za kanisa RC inalazimisha waamini wake wahudhurie maadhimisho ya misa(sala)unadhani kwa nini?
 
Umewahi kwenda makanisa ya RC kwenye zile sala za asubuhi siku za kati za juma na saa sita mchana?Acha kupotosha.Tutaandika na mengine mchukie.Tofautisha kati ya sala na maadhimisho ya misa.
Hizo sala ni lazima kwa wakatoliki? Yaani katika mafundisho yao wanaambiwa ni lazima wazisali na anayeziacha anapata dhambi?
 
Kama kuna hadi slogan ..."Sala na kazi"...wewe kwa tafsiri yako unadhani ni kitu kidogo kwao?Si hivyo tu.Sheria mojawapo za kanisa RC inalazimisha waamini wake wahudhurie maadhimisho ya misa(sala)unadhani kwa nini?
Narudia tena. Hizo sala ni lazima kwa mujibu wa ukatoliki na anayeziacha anapata dhambi?
 
Tatizo la ukristo utajenga makanisa mangapi? Mana ukijenga la roma wafuasi wa mwamposa watakuja juu, ukijenga la mwamposa wafuasi wa kiboko ya wachawi nao watamaindi,, Uzuri wa uislam ibada ni moja na utaratibu ni huo huo dunia nzima so awe mchina, mndengereko, mzungu utaribu ni huo huo ndo mana inakuwa raisi kuweka msikiti kwa upande wa waislam, yani kwa faida yenu tu msiojua mnavyosikia Shia na sunni basi mjue ibada ni ile ile tu hakuna anaeswali nyakati kumi isipokuwa swala ni tano vipindi vile vile na utarabu ni ule ule dunia nzima,,, karibu ninapoishi kuna kanisa, ila rafiki yangu mkristo ye hasali apa anaenda mbali, nilipomuuliza akasema ye kaokoka lile kanisa la pale karibu hawajaokoka,, sasa hayo makanisa apo Airport utajenga mangapi,,,,
Ndiyo maana serikali inapaswa kujiweka kando na imani za watu. Halafu hai akina Mwamposa kwanza siyo Churches bali ni Ministries, pili ni state made churches/ministries. Serikali kupitia mikakati na mikino yake inajenga baadhi ya dini huku ikibomoa nyingine
 
Utajenga makanisa mangapi kwenye airport?
TAG, KKKT, RC, PENTECOSTE, AIC, EAGT,FBF, Kila mmoja atataka sehemu yake ya kuabudia. Si itakuwa fujo
Kwani kwenye hiyo airport pia kumejengwa misikiti miwili(2) ya Sunni na Shiya ?
 
Tatizo la ukristo utajenga makanisa mangapi? Mana ukijenga la roma wafuasi wa mwamposa watakuja juu, ukijenga la mwamposa wafuasi wa kiboko ya wachawi nao watamaindi,, Uzuri wa uislam ibada ni moja na utaratibu ni huo huo dunia nzima so awe mchina, mndengereko, mzungu utaribu ni huo huo ndo mana inakuwa raisi kuweka msikiti kwa upande wa waislam, yani kwa faida yenu tu msiojua mnavyosikia Shia na sunni basi mjue ibada ni ile ile tu hakuna anaeswali nyakati kumi isipokuwa swala ni tano vipindi vile vile na utarabu ni ule ule dunia nzima,,, karibu ninapoishi kuna kanisa, ila rafiki yangu mkristo ye hasali apa anaenda mbali, nilipomuuliza akasema ye kaokoka lile kanisa la pale karibu hawajaokoka,, sasa hayo makanisa apo Airport utajenga mangapi,,,,
Msikiti upi?
Sunni au shia?
Nani aliyekudanganya kubwa waislamu wana dhehebu moja?
 
Unaonaje tukaondoa mapumziko Jumamosi na Jumapili? Unaonaje tukaondoa likizo Krismasi na mwaka mpya wa miladia na likizo ya pasaka? Nyie watu kuweni wavumilivu. Tuishi kwa amani na kuvumiliana. Huwa mnawasema Waislam sana kuwa wana chuki na nyinyi ndio mna upendo kuliko watu wote ila ndio mnaongoza kwa chuki zisizo msingi. Hivi Waislam wakianza kuleta nongwa za ajabu ajabu itakuwaje?
Nani aliyeweka hayo mapumziko? Mkiamua kufanya kazi pasipo kupumzika hiyo ni nyie. Mkiamua kubadili siku hiyo ni nyie. Msingi wa mapumziko Jumamosi na Jumapili ni sababu babu ni weekend siyo kwa sababu ni Church days.
Wakristo wana Misa za kila siku asubuhi (siyo ibada, naongelea misa), hilo najua itakuwa ni mara yako ya kwanza kulisikia tangu uzaliwe. Wakatoliki wanapaswa kusali sala hizi katika utarayibu wao;
  • Matins (Office of Readings)
  • Lauds (Morning Prayer)
  • Terce, Sext, None (Midmorning, Midday, Midafternoon Prayers)
  • Vespers (Evening Prayer)
  • Compline (Night Prayer)
Hizi ni sala ambazo wanapaswa kusali kila muda unapowadia.

Halafu kuna The Angelus Prayer “Angelus Domini." Hii husaliwa 6 AM, noon, na 6 PM, na muda wote wa sala hii huwa inasindikizwa na mlio wa kengele, nadhani umewahi kusikia Kengele zikilia asubuhi, mcjana na jioni. Kila usikiapo kengele za Kanisa muda huo basi ujue ni muda wa kusali
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
sasa mkuu wakisema wajenge kanisa watajenga la wakatoliki? pentekoste? africa inland church? kiboko ya wachawi? at least wenzetu wanawza sali msikiti wowote na inajulikana wana swala kadhaa kwa siku.
Mambo mengine ya kuacha yapite tu ni jamii kukubaliana tu
 
Kutumia Hela ya wananchi kujenga nyumba za ibada za watu Fulani ni ujinga
 
Uliwahi kua mkristo?Nani anakupa mamlaka ya kuona wengine wana mahitaji makubwa kuliko wengine?Au kwa sababu huwa wananyamaza tu?Ligi itoke wapi wakati mnatolewa tongotongo?
Wewe ni mdini na una roho ya kwanini. Safisha nafsi yako utakuwa na amani.
 
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.

2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.

NB: JNIA Terminal 3 wamejitahidi Ila wamesahau dini nyingine, kwanini? KERO.
Huo ni ujinga , airport sio sehemu ya ibada hakuna haja ya kuweka sehemu ya kuabudia kwa dini yeyote ile , wakianza huo upuuzi basi na wale wengine nao watadai maana ni haki yao pia , maana kwa style hii watajenga kila mahali penye mradi wa serikali na hapo sasa ndipo serikali inapo geuka kuwa wakala wa dini fulani serikali iachane na hizo mambo zitaamsha migongano.
 
Back
Top Bottom